TANESCO haya marekebisho yataisha lini?hivi hii mitambo mnayo nyinyi tu dunia nzima,wengine wanafanyaje hivi vitu bila kusababisha usumbufu mkubwa hivi?na pia niwashauri kitu,kwa uzoefu wangu wa maisha ya Dar,walau siku ya jtano inakuwaga haina mishe sana,shughuli nyingi zinapoa.Ni heri muwe selective siku za kufanya haya mambo yenu zisiangukie wakati wenye shughuli nyingi kama weekend.Mie siwaelewi mnapoakaa jtatu hadi ijumaa halafu matengenezo mje kuyafanya jmosi,kweli?!hivi hamjiongezi wakuu?Eneo lote hilo mlilokata ni shughuli ngapi zimeathirika?na hayo maeneo mengi ni nje ya mji ambako watumiaji wengi ni wa nyumbani na biashara ndogondogo,so huwa bize zaidi weekends!hata mnapofanya kazi zenu kuweni smart kidogo wakuu,hii sio fair,mtu unasubiri wiki nzima uje kupata hesabu zako ijumaa,jmosi,jpili na jtatu halafu ndio siku hizo na nyie mnataka mfanye kazi zenu,kweli?!
View attachment 2024680