Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi jamani TANESCO mmeshindwa kabisa kuzuia ujinga wenu siku Kama ya leo ????? Yaani tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru halafu bila aibu mnakata umeme kabisa Yani hamna aibu kabisa????? Huu ushenzi mtaacha link jamani? Kati ya sherehe ya miaka 60 mnakata umeme????
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco Dodoma. Eti waya za kuunga umeme kutoka kwenye nguzo hazipo?? Nina site mbili Nzuguni na Ilazo. Nzuguni ni mwezi wa sita huu toka tufanye maombi wameleta nguzo tuu. Mpk sasa hatujapewa control namba. Ilazo control namba tayari tumelipia ila eti waya hakuna wa kuingiza umeme ndani nguzo ipo nje tuu ya nyumba.
Je kweli waya hazipo?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Habari TANESCO... nimekosea kununua Umeme nimelipia kwa meter namba sio yangu.. Je kuna uwezekano nikapewa tokeni zangu (corresponding to my meter number).Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
mkuu tuliatu mimi tangu mwez wa saba had sasa sjapewa token na naambiwa nipo nje ya miundo mbinu na nguzo ilipo ni nyumba ya pili tu kutokamimi nawauliza kwa hiyo et had wafungue mradi na bajeti na hilo jukum la tanesco yan hawaeleweki nimeamua kukaa kimya sababu nimechokaTanesco Jamani nimetuma maombi muda sasa naambiwa nisubiri nguzo hazipatikani sasa hawasemi nisubiri muda gani unaenda mwezi wa pili hata control namba sijapewa naambiwa kusubiri tu mana hata kuna ambao hawajahudumiwa toka mwezi wa tisa Nguzo hazipatikani,Tatizo ni nini?.Tanesco Bagamoyo
Ndugu mpendwa Mteja wetuHabari TANESCO,
Ni mwezi wa tatu sasa tangu tumeomba kufungiwa umeme lakini kila tikiuliza tunapewa sababu mpya. Mara hatuna gari, mara team yetu iko busy inatengeneza nguzo zilizoanguka, na kadhalika na kadhalika. Tufanyeje?
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi TANESCO kwa haya maajabu yanayoendelea mitaani nanyi mmekaa ofisini mnasubiri maoni ya watz ndio muanze kufanya kazi kweli au mnatania?
Sasa ndo nini hiki kila kitu mnataka kuulizwa kwa simu ya kawaida na humu mnafannya nini kama hata kujibu maswali ya kawaida hamuweziNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhaliKwa maskitiko makubwa kabisa leo naandika hapa,baafa ya Tanesco Morogoro kushindwa kupeleka surveyor katika nyumba ambayo fomu yake ilijazwa na kukabidhiwa tangu 29/06/2021.
Niliwa-dm last time mkasema mtafanyia kazi lakini mpaka Leo hakuna surveyor aliyepata.
Hata siku surveyor akipita maana yake itanibidi nisubiri miezi 6 kupata control number na miezi 6 tena kupata umeme.....is this fair?
mimi ni Omari Makoo
Nyumba ipo Vibandani
View attachment 2039912
Dah hapo kuna shida mi nimeambiwa mkono uwe mrefumkuu tuliatu mimi tangu mwez wa saba had sasa sjapewa token na naambiwa nipo nje ya miundo mbinu na nguzo ilipo ni nyumba ya pili tu kutokamimi nawauliza kwa hiyo et had wafungue mradi na bajeti na hilo jukum la tanesco yan hawaeleweki nimeamua kukaa kimya sababu nimechoka