Hongera kwako mimi wameniweka nyumbani hadi saa hizi sijaenda mishe alafu siwaoni
Hawa jamaa ni vichomi balaa
 
Hongera kwako mimi wameniweka nyumbani hadi saa hizi sijaenda mishe alafu siwaoni
Hawa jamaa ni vichomi balaa
Kwa sasa wateja wote wanaunganishiwa umeme wa njia moja ( single phase) tunawapatia mkopo wa unit 10 wakati mita zao zinasajiliwa

Kuhusu kodi ya majengo nyumba yeyote inayokidhi vigezo iliyojengwa ndani ya mwaka wa fedha inapaswa kulipia kodi ya majengo hivyo bado upo ndani ya muda wa fedha
 
Mmesema mnakuja kunifungia umeme leo hadi saa hizi siwaoni alafu mna niquote vitu sivielewi nyie vipi
 
TANESCO NI SHIDA
Hivi kwa nn umeme unakatika mara kwa
Mara wapi mnakwama kumbukeni hasara
Mnazotutia ni kubwa hata kulipa hamuwezi
Ndani ya masaa mawili ni hasara kubwa sana
Mnatakiwa mshitakiwe kinacho walinda ni sheria
Za Nchi bado haziko sawa
 
Emergency nao ni changamoto siku ya 3 leo tokea tatizo limeripotiwa, kila ukipiga simu unaambiwa mafundi wanafika
 
Emergency nao ni changamoto siku ya 3 leo tokea tatizo limeripotiwa, kila ukipiga simu unaambiwa mafundi wanafika
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
TANESCO NI SHIDA
Hivi kwa nn umeme unakatika mara kwa
Mara wapi mnakwama kumbukeni hasara
Mnazotutia ni kubwa hata kulipa hamuwezi
Ndani ya masaa mawili ni hasara kubwa sana
Mnatakiwa mshitakiwe kinacho walinda ni sheria
Za Nchi bado haziko sawa
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Inbox
 
Msaada kupata control no kulipia maunganisho ya umeme toka october 2021

Jina: Khalima Ramadhani Mwachirua
Eneo:Nyasa shuleni
Wilaya:Masasi
No ya simu 0682985792/0625842303
Tatizo:kupata control no ya kulipia maunganisho ya umeme,
Tokalini:last update from office past two weeks,kunahitajika surveyer kufika kuchukua coordinates site form ya tangu mwezi wa 10 jamani,site yenyewe ipo juu ya kwa maeneo ya kwa mkapa tu Hapa Hapa mjini
 
Tunashukuru kwa taarifa imepokelewa kwa hatua zaidi
 
Hamna taarifa mnazofanyia kazi hapa nyie mpo mpo tu humu hamna faida yoyote

Tokea nianze kulalamika humu hamjawahi kunipa feedback yoyote ya malalamiko yangu sasa sijui hizi page mnafungua za nini
 
Hamna taarifa mnazofanyia kazi hapa nyie mpo mpo tu humu hamna faida yoyote

Tokea nianze kulalamika humu hamjawahi kunipa feedback yoyote ya malalamiko yangu sasa sijui hizi page mnafungua za nini
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Kwendeni zenu huko kila siku mnaniuliza habari hizohizo
 
Kaka mimi nipo kahama kuna nguzo imeoza hapa kwetu nimepeleka maombi Tanesco mara 4 itolewe naona kimya tu unanisaidiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…