Ni wiki sas tangu Tansco mkoa wa singida uanze oparation kata umeme halmashauri ya itigi...leo wanasema nguzo tulizonazo ni za wizi. Waya na mita pia... tanesco mbona tulituuzia ninyi wenyewe vifaa vyote ado nguzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ukweli ndani yake..ila mbona hata hao wana ccm nguli wamekatiwa...diwani Chizumi ni wa ccm kakatiwa.......tupamban na hali yetuPambaneni na hali yenu.....si mlikuwa mnaimba CCM mbele kwa mbele?
Isomeni namba kisawasawa sasa.
Tatizo hapo ni mfumo. Period.
Mkuu, inawezekana hata hao "Tansco" nao waliiba hizo nguzo. kwa hiyo cha wizi kinabaki ni mali ya wizi tu, hata kama aliiba mfalme.Ni wiki sas tangu Tansco mkoa wa singida uanze oparation kata umeme halmashauri ya itigi...leo wanasema nguzo tulizonazo ni za wizi. Waya na mita pia... tanesco mbona tulituuzia ninyi wenyewe vifaa vyote ado nguzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, inawezekana hata hao "Tansco" nao waliiba hizo nguzo. kwa hiyo cha wizi kinabaki ni mali ya wizi tu, hata kama aliiba mfalme.
Kuna ukweli ndani yake..ila mbona hata hao wana ccm nguli wamekatiwa...diwani Chizumi ni wa ccm kakatiwa.......tupamban na hali yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kaka mita.wire.na nguzo zaidi ya hamsini zinawz kutoka makao makuu bila manager w mkoa kujua hata ka n za wizi..Mkuu, inawezekana hata hao "Tansco" nao waliiba hizo nguzo. kwa hiyo cha wizi kinabaki ni mali ya wizi tu, hata kama aliiba mfalme.
Kiongozi wizi uko wa aina nyingi, sio lazima umkabe mtu au uvunje nyumba. Kuna wizi wa kutumia kalamu.Kwan kaka mita.wire.na nguzo zaidi ya hamsini zinawz kutoka makao makuu bila manager w mkoa kujua hata ka n za wizi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kaka mita.wire.na nguzo zaidi ya hamsini zinawz kutoka makao makuu bila manager w mkoa kujua hata ka n za wizi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakupatia maelezo ya mradi husika mkuuSamahani kwa mara nyingne tena narudi kulalamikia mradi wa umeme uliofanywa na Tanesco mwaka 2014 katika kijiji cha kwekitui kata ya mamba tarafa ya Soni wilayami Lushoto mkoaniTanga
Inasikitisha kuona mpk leo mradio huo amabo ulianza toka mwaka 2009 haujakamilika umetengenezwa nusu nusu.
Nasema nusu nusu kwa kuwa bado kuna nguzo zimesimama tu bila waya na kwa idadi ni nguzo nane hazina waya zimesimama takriban mwaka wa ili unaisha. tunaomba kujua tatizo ni nini?
Kama ni uzembe wa mtu mmoja kwa nini asiwajibike
Kama mkishindwa mseme ili tuende ngazi za Juu zaidi mpk tujue mwisho wake.
Naomba msaada wenu.
Simu 0 6 5 5 0 4 8 3 0 2.
Eneo gani haswaHivi nyie tanesco kusini kweli mpo serious... Haiwezekani mkakata umeme zaidi ya Mara kumi kwa Sikh moja..mini faida ya gesi
.wajasiriamali wameua mitaji kwa ajili yenu...hivyo viwanda vinavyohubiriwa vitazalishaje...MMEFELI..Serikali iruhusu secta binafsi iwekeze ktk uzalishaji na usambazaji wa nishati hii ili tanesco wanyoshwe kama posta na simu.....MNABOA MNO
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuomba taarifa mpendwa mteja wetu ili iwe rahisi kufatili tunaomba utusaidie