TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ni wiki sas tangu Tansco mkoa wa singida uanze oparation kata umeme halmashauri ya itigi...leo wanasema nguzo tulizonazo ni za wizi. Waya na mita pia... tanesco mbona tulituuzia ninyi wenyewe vifaa vyote ado nguzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambaneni na hali yenu.....si mlikuwa mnaimba CCM mbele kwa mbele?
Isomeni namba kisawasawa sasa.

Tatizo hapo ni mfumo. Period.
 
Ni wiki sas tangu Tansco mkoa wa singida uanze oparation kata umeme halmashauri ya itigi...leo wanasema nguzo tulizonazo ni za wizi. Waya na mita pia... tanesco mbona tulituuzia ninyi wenyewe vifaa vyote ado nguzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, inawezekana hata hao "Tansco" nao waliiba hizo nguzo. kwa hiyo cha wizi kinabaki ni mali ya wizi tu, hata kama aliiba mfalme.
 
Kwan kaka mita.wire.na nguzo zaidi ya hamsini zinawz kutoka makao makuu bila manager w mkoa kujua hata ka n za wizi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wizi uko wa aina nyingi, sio lazima umkabe mtu au uvunje nyumba. Kuna wizi wa kutumia kalamu.

Inakuwaje kama hao ma-manager walifoji documents, mfano zinahitajika nguzo 50 wao wakaandika 80, na mita zilihitajika 120 wao wakaandika 200, Au walipewa nguzo 70 wao kwenye ripoti yao wameandika 50 na mita walipewa 300 lakini kwenye maandishi inaonesha zimetoka mita 150 tu, hapo wakiwa na nia ya kupiga cha juu (wanajua namna wanavyopiga).

Sasa mamlaka za juu zinagundua kuna ubadhirifu na udanganyifu kwenye hiyo suppyl, ni lazima waanze kuhaha na kuzingizia raia ndio wezi.
 
Kwan kaka mita.wire.na nguzo zaidi ya hamsini zinawz kutoka makao makuu bila manager w mkoa kujua hata ka n za wizi..

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenye mandate na nguzo za TANESCO sio raia mwenye kuhitaji huduma ya umeme ila ni wao TANESCO.
Kama kuna taratibu walizikiuka haziwahusu nyie asilani.
Kuhusu nyaya pia lawama iende serikalini kwa kuruhusu nyaya zilizo chini ya kiwango kuingia kwenye mzunguko wa biashara bila kujali madhara yake kwa mtumiaji wa mwisho.

Kwa kifupi bidhaa huingizwa nchini na kulipiwa kodi stahili kisha kuingia kwenye mzunguko wa kibiashara kama bidhaa halali. Uhalali wake kwanza ni kuruhusiwa kuingizwa nchini, pili ni kukadiriwa kodi bandarini, uwanja wa ndege au mipakani mwetu na uhalali wake pia ni kupimwa TFDA au TBS kisha kuingizwa kwenye mzunguko kihalali.

Sasa tatizo hutokea endapo mmoja wa niliowataja hapo juu anaposhindwa/anapozembea kutekeleza wajibu wake, hapo ndipo tatizo kuu lilipo kwa kuwa mtumiaji anaamini bidhaa inayouzwa hadharani, kwenye duka lenye leseni halali basi bidhaa hizo ni halali.

Mambo mengi sana hutokea kwa uzembe wa waliopewa majukumu na wao kufanya kazi kwa mazoea.

Poleni sana.
 
Samahani kwa mara nyingne tena narudi kulalamikia mradi wa umeme uliofanywa na Tanesco mwaka 2014 katika kijiji cha kwekitui kata ya mamba tarafa ya Soni wilayami Lushoto mkoaniTanga
Inasikitisha kuona mpk leo mradio huo amabo ulianza toka mwaka 2009 haujakamilika umetengenezwa nusu nusu.
Nasema nusu nusu kwa kuwa bado kuna nguzo zimesimama tu bila waya na kwa idadi ni nguzo nane hazina waya zimesimama takriban mwaka wa ili unaisha. tunaomba kujua tatizo ni nini?

Kama ni uzembe wa mtu mmoja kwa nini asiwajibike
Kama mkishindwa mseme ili tuende ngazi za Juu zaidi mpk tujue mwisho wake.

Naomba msaada wenu.

Simu 0 6 5 5 0 4 8 3 0 2.
Tutakupatia maelezo ya mradi husika mkuu

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Hivi nyie tanesco kusini kweli mpo serious... Haiwezekani mkakata umeme zaidi ya Mara kumi kwa Sikh moja..mini faida ya gesi
.wajasiriamali wameua mitaji kwa ajili yenu...hivyo viwanda vinavyohubiriwa vitazalishaje...MMEFELI..Serikali iruhusu secta binafsi iwekeze ktk uzalishaji na usambazaji wa nishati hii ili tanesco wanyoshwe kama posta na simu.....MNABOA MNO

Eneo gani haswa
Namba ya simu
Tunaomba taarifa hizo tuwasiliane na wewe

Back
Top Bottom