TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
inasemekana kuanzia terehe 1.1.22 bei itapanda kutoka 24 mpka laki 4 ya kufungiwa umeme et ni kweli ???
 
Je umewahi kuotolea taarifa ofisi za eneo lako? Kama bado toa taarifa wataalu wetu waiangalie na kuchukua hatua stahiki
Nimewahi kutoa Taarifa Tanesco Kigamboni wakaja mpaka nyumbani wakajaribu kuitumia ikawashinda lakini hawakulipwa Ufumbuzi wa Kudumu ndio maana nimeuliza tena nini cha kufanya
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Mwanza hatuna umeme toka saa 12 asubui wakuu, ikiwapendeza turudishieni sasa tupate hata elfu 2000 ya kulalia wakuu dih
 
Imefikia stage umeme ni wa kuomba daah as if wanatupa bure[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tuwafanyaje kaka? Umeme hakuna toka asubuhi almost 14 hours kuna kingine cha kufanya zaidi ya kuwaomba maana si mchezo [emoji3]
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Hapa dumila-kilosa umeme mnakata kata kila baada ya dakika 5 yaani unakuja mnakata

Yaani kata rudisha
Kata rudisha yaani ni kama mtoto anachezea switch inakera sana kiukweli khaaa
 
Hivi anayetujibu hapa ni mfanyakazi wa Tanesco kweli? Kama ni mfanyakazi basi kazi tunayo. Haiwezekani mtu anauliza kwa nini mkoa wa Mwanza hakuna imeme tangu saa 12 asubuhi hadi anajibiwa ili aweze kuhudumiwa ni laziqma aandike
JINA
Namba ya simu
,,.......
.......
......
........
.......
Hivi wako serious kweli?
 
Aisee wanatu enjoy tu hawa

Umeme tangu asubuh hakuna wameleta saa moja tu umekata tena hapa sijui ndio paka lini yaani
 
Hivi anayetujibu hapa ni mfanyakazi wa Tanesco kweli? Kama ni mfanyakazi basi kazi tunayo. Haiwezekani mtu anauliza kwa nini mkoa wa Mwanza hakuna imeme tangu saa 12 asubuhi hadi anajibiwa ili aweze kuhudumiwa ni laziqma aandike
JINA
Namba ya simu
,,.......
.......
......
........
.......
Hivi wako serious kweli?
TANESCO yupo sawa mkuu
7bu hata yeye yupo kwenye SYSTEM unapomjazia hvyo unampa uwepesi katika kufanya SEACH
7bu anajaza vyote hivyo kwenye program
kisha anapiga Enter jibu linakuja kuona wewe mteja upo kata wilaya mkoa kwa sasa upo katika SITUATION gani
hvyo inampa urahisi yeye kuwasiliana na watu wa eneo husika kisha kuwapa info zako ili wajue nini tatizo na wakufikie vipi kwa haraka
mfn wilaya kinondoni inahudumiwa na EMERGENCY mbili au tatu tofauti
mfano mtu wa magomeni na kawe wapo tofauti katika kupata huduma ya dharura
sasa anapokutaka ujaze hayo maelezo lengo kuu akupe update ya haraka na yenye jibu la uhakika
kumbuka tunamuuliza hapa kutoka pande zote za nchi sasa atawezaje kujua SITUATION ya nchi nzima bila kuseach na atawezaje kujua wilaya na kata zote za nchi.

hivyo ili kupata wepesi mjaze anavyowaelekeza ili akipata jibu anawapa namba wahusika wanawapigia kutatua tatizo mlonalo
mm binafsi nina watu zaidi ya watano wametatuliwa matatizo yao hapa amabayo walisumbuka zaidi ya miezi 5 au 6muache kulalamika.

Zaidi jamaa yuko humble sana na anajibu kila comment ya mtu hvyo na nyinyi mumsaidie anapowaomba info mumpe kikamilifu
 
TANESCO yupo sawa mkuu
7bu hata yeye yupo kwenye SYSTEM unapomjazia hvyo unampa uwepesi katika kufanya SEACH
7bu anajaza vyote hivyo kwenye program
kisha anapiga Enter jibu linakuja kuona wewe mteja upo kata wilaya mkoa kwa sasa upo katika SITUATION gani
hvyo inampa urahisi yeye kuwasiliana na watu wa eneo husika kisha kuwapa info zako ili wajue nini tatizo na wakufikie vipi kwa haraka
mfn wilaya kinondoni inahudumiwa na EMERGENCY mbili au tatu tofauti
mfano mtu wa magomeni na kawe wapo tofauti katika kupata huduma ya dharura
sasa anapokutaka ujaze hayo maelezo lengo kuu akupe update ya haraka na yenye jibu la uhakika
kumbuka tunamuuliza hapa kutoka pande zote za nchi sasa atawezaje kujua SITUATION ya nchi nzima bila kuseach na atawezaje kujua wilaya na kata zote za nchi
hivyo ili kupata wepesi mjaze anavyowaelekeza ili akipata jibu anawapa namba wahusika wanawapigia kutatua tatizo mlonalo
mm binafsi nina watu zaidi ya watano wametatuliwa matatizo yao hapa amabayo walisumbuka zaidi ya miezi 5 au 6
muache kulalamika
Zaidi jamaa yuko humble sana na anajibu kila comment ya mtu hvyo na nyinyi mumsaidie anapowaomba info mumpe kikamilifu
Mkuu mi nafikiri wajiongeze mambo diteli kama hizo wamwombe kwa mteja mwenye kesi private lakini siyo kwa ishu inayohusu mkoa mzima
 
Hua unachukua muda gani mteja kuungwnishiwa umeme baada ya kulipia gharama za kuungwnishiwa.

Nimelipia tangu novemba 4 mpaka leo sijapata huduma. Majibu ya ofisini wanasema mita yangu haitatoka.
 
Hua unachukua muda gani mteja kuungwnishiwa umeme baada ya kulipia gharama za kuungwnishiwa.

Nimelipia tangu novemba 4 mpaka leo sijapata huduma. Majibu ya ofisini wanasema mita yangu haitatoka.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Ntakupigia kwa simu
Maana kutoa taarifa naona Kama haisaidii
Mwaka mzima nazunguka ofisi za tanesco
 
Tanesco mtufahamishe maana sisi watu wa pongwe tanga week nzima umeme unakatwa ahsubuhi mpaka jioni je kuna mgao au mnatukomesha? Dunia ya sasa inatakiwa umeme uwepo masaa 24 ili shughuli za kuongeza vipato ziendelee
 
Leo Ni siku ya Saba. Hatuna umeme Tanga. Hamtoi taarifa what is going on!
 
Back
Top Bottom