Nimewahi kutoa Taarifa Tanesco Kigamboni wakaja mpaka nyumbani wakajaribu kuitumia ikawashinda lakini hawakulipwa Ufumbuzi wa Kudumu ndio maana nimeuliza tena nini cha kufanyaJe umewahi kuotolea taarifa ofisi za eneo lako? Kama bado toa taarifa wataalu wetu waiangalie na kuchukua hatua stahiki
Ndugu mpendwa Mteja wetuNimewahi kutoa Taarifa Tanesco Kigamboni wakaja mpaka nyumbani wakajaribu kuitumia ikawashinda lakini hawakulipwa Ufumbuzi wa Kudumu ndio maana nimeuliza tena nini cha kufanya
Mwanza hatuna umeme toka saa 12 asubui wakuu, ikiwapendeza turudishieni sasa tupate hata elfu 2000 ya kulalia wakuu dihNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Imefikia stage umeme ni wa kuomba daah as if wanatupa bure[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza hatuna umeme toka saa 12 asubui wakuu, ikiwapendeza turudishieni sasa tupate hata elfu 2000 ya kulalia wakuu dih
Sasa tuwafanyaje kaka? Umeme hakuna toka asubuhi almost 14 hours kuna kingine cha kufanya zaidi ya kuwaomba maana si mchezo [emoji3]Imefikia stage umeme ni wa kuomba daah as if wanatupa bure[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa dumila-kilosa umeme mnakata kata kila baada ya dakika 5 yaani unakuja mnakataNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Aisee wanatu enjoy tu hawaHivi anayetujibu hapa ni mfanyakazi wa Tanesco kweli? Kama ni mfanyakazi basi kazi tunayo. Haiwezekani mtu anauliza kwa nini mkoa wa Mwanza hakuna imeme tangu saa 12 asubuhi hadi anajibiwa ili aweze kuhudumiwa ni laziqma aandike
JINA
Namba ya simu
,,.......
.......
......
........
.......
Hivi wako serious kweli?
TANESCO yupo sawa mkuuHivi anayetujibu hapa ni mfanyakazi wa Tanesco kweli? Kama ni mfanyakazi basi kazi tunayo. Haiwezekani mtu anauliza kwa nini mkoa wa Mwanza hakuna imeme tangu saa 12 asubuhi hadi anajibiwa ili aweze kuhudumiwa ni laziqma aandike
JINA
Namba ya simu
,,.......
.......
......
........
.......
Hivi wako serious kweli?
Mkuu mi nafikiri wajiongeze mambo diteli kama hizo wamwombe kwa mteja mwenye kesi private lakini siyo kwa ishu inayohusu mkoa mzimaTANESCO yupo sawa mkuu
7bu hata yeye yupo kwenye SYSTEM unapomjazia hvyo unampa uwepesi katika kufanya SEACH
7bu anajaza vyote hivyo kwenye program
kisha anapiga Enter jibu linakuja kuona wewe mteja upo kata wilaya mkoa kwa sasa upo katika SITUATION gani
hvyo inampa urahisi yeye kuwasiliana na watu wa eneo husika kisha kuwapa info zako ili wajue nini tatizo na wakufikie vipi kwa haraka
mfn wilaya kinondoni inahudumiwa na EMERGENCY mbili au tatu tofauti
mfano mtu wa magomeni na kawe wapo tofauti katika kupata huduma ya dharura
sasa anapokutaka ujaze hayo maelezo lengo kuu akupe update ya haraka na yenye jibu la uhakika
kumbuka tunamuuliza hapa kutoka pande zote za nchi sasa atawezaje kujua SITUATION ya nchi nzima bila kuseach na atawezaje kujua wilaya na kata zote za nchi
hivyo ili kupata wepesi mjaze anavyowaelekeza ili akipata jibu anawapa namba wahusika wanawapigia kutatua tatizo mlonalo
mm binafsi nina watu zaidi ya watano wametatuliwa matatizo yao hapa amabayo walisumbuka zaidi ya miezi 5 au 6
muache kulalamika
Zaidi jamaa yuko humble sana na anajibu kila comment ya mtu hvyo na nyinyi mumsaidie anapowaomba info mumpe kikamilifu
Ndugu mpendwa Mteja wetuHua unachukua muda gani mteja kuungwnishiwa umeme baada ya kulipia gharama za kuungwnishiwa.
Nimelipia tangu novemba 4 mpaka leo sijapata huduma. Majibu ya ofisini wanasema mita yangu haitatoka.
Ntakupigia kwa simuNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Tanga yote?Leo Ni siku ya Saba. Hatuna umeme Tanga. Hamtoi taarifa what is going on!