Mwanza mjini sasa umeme tuite janga la taifa, maana kila siku lazima ukatike! Sasa sijui nchi itasongaje mbele bila umeme!
 
Mwanza mjini sasa umeme tuite janga la taifa, maana kila siku lazima ukatike! Sasa sijui nchi itasongaje mbele bila umeme!
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Tanesco mtufahamishe maana sisi watu wa pongwe tanga week nzima umeme unakatwa ahsubuhi mpaka jioni je kuna mgao au mnatukomesha? Dunia ya sasa inatakiwa umeme uwepo masaa 24 ili shughuli za kuongeza vipato ziendelee
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Mkuu mi nafikiri wajiongeze mambo diteli kama hizo wamwombe kwa mteja mwenye kesi private lakini siyo kwa ishu inayohusu mkoa mzima
hata wewe lazima utoe info ukiripot mkoa fulani eneo fulani hakuna umeme info zinahitajika ili wapewe EMERGENCY namba zako amabo watakupigia wewe kujua wapi ulipo hakuna umeme hata kama ishu ya mkoa na ni wewe ndio umetoa taarifa na mafundi km hawana taarifa ya tatizo wanakupigia wewe ulotoa taarifa ili uwape dokezo kujua tangu saa ngapi na wapi ili wajue wanaanzia wapi so bado info zinahitajika sijui umenielewa hapo ndugu yangu.

TANESCO ni watu kama wewe wanashilikiana na RAIA ili kutatua matatizo kwa haraka so kuwa huru mkuu ukishindwa kuweka hapa unamtumia PM mwasiriano yako yanabaki Siri wewe na TANESCO usiwe na wasi usiogope

N.b mimi sio TANESCO wala sifanyi kazi TANESCO pm mtumieni huyo jamaa TANESCO
mimi ni mganga wa kienyeji tu sihusiki na mambo yoyote ya TANESCO
 
TANESCO mnakata umeme mpaka siku ya leo, nyie ni watu wa ajabu sana
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Tanesco huku kwetu kola karibu na kanisa jekundu tatizo ni kini, kila siku mnakata umeme, kulikoni?
 
Wadau tanesco,
Any update ya hii taarifa tafadhali,inazidi kuongeza siku bila mrejesho
 
Tangu siku ya Christmas mitaa ya Kimara na Mbezi yake yote kuna mgao wa umeme wa rejareja. Jana Jumapili umeme umekata mchana na kurudi saa tatu za usiku.

Inawezekana kabisa mgao huu upo maeneo mengi tu ya Darisalama na mikoa mingine. Hii inaenda sambamba na mgao mkali wa maji.

Leo umeme umekatika saa nne na nusu asubuhi na sijui utarudi lini. Sina uhakika kama TANESCO wametoa taarifa mapema kuhusu kadhia hii. Watu wengi sana sasa tunafanyia kazi nyumbani katika kusaidia kupunguza congestion maeneo ya kazi ili kupunguza kusambaa kwa maambukizi ya Omicron, as such, tunahitaji umeme uninterrupted.

Tunakwama wapi kama taifa? Huu ni ubabaishaji wa kiwango cha juu sana. January Makamba tunajua upo humu. ACHENI UBABAISHAJI ninyi wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…