Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu mpendwa Mteja wetuMwanza mjini sasa umeme tuite janga la taifa, maana kila siku lazima ukatike! Sasa sijui nchi itasongaje mbele bila umeme!
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco mtufahamishe maana sisi watu wa pongwe tanga week nzima umeme unakatwa ahsubuhi mpaka jioni je kuna mgao au mnatukomesha? Dunia ya sasa inatakiwa umeme uwepo masaa 24 ili shughuli za kuongeza vipato ziendelee
hata wewe lazima utoe info ukiripot mkoa fulani eneo fulani hakuna umeme info zinahitajika ili wapewe EMERGENCY namba zako amabo watakupigia wewe kujua wapi ulipo hakuna umeme hata kama ishu ya mkoa na ni wewe ndio umetoa taarifa na mafundi km hawana taarifa ya tatizo wanakupigia wewe ulotoa taarifa ili uwape dokezo kujua tangu saa ngapi na wapi ili wajue wanaanzia wapi so bado info zinahitajika sijui umenielewa hapo ndugu yangu.Mkuu mi nafikiri wajiongeze mambo diteli kama hizo wamwombe kwa mteja mwenye kesi private lakini siyo kwa ishu inayohusu mkoa mzima
Nimewahi kutoa Taarifa Ofisi yenu ya Tanesco KigamboniJe umewahi kuotolea taarifa ofisi za eneo lako? Kama bado toa taarifa wataalu wetu waiangalie na kuchukua hatua stahiki
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiNimewahi kutoa Taarifa Ofisi yenu ya Tanesco Kigamboni
Jina ni Crecensia Lugasira
Wilaya Kigamboni
Mtaa Kisiwani
Namba ya Simu 0755101899
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ni hatari hapo kurudi paka samoja hiviTANESCO mnakata umeme mpaka siku ya leo, nyie ni watu wa ajabu sana
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO mnakata umeme mpaka siku ya leo, nyie ni watu wa ajabu sana
Tarehe 23/12/2021.Je umenunua lini? Namba ya mita na kiasi gani
Asante sana kwa huduma..55001937832563654193 Tafadhali pokea umeme wako
Mmekata umeme dumila-kilosa eneo dumila juu alafu sehem nyingine upo jamani mnatutesa jamani55001937832563654193 Tafadhali pokea umeme wako
Wadau tanesco,Msaada kupata control no kulipia maunganisho ya umeme toka october 2021
Jina: Khalima Ramadhani Mwachirua
Eneo:Nyasa shuleni
Wilaya:Masasi
No ya simu 0682985792/0625842303
Tatizo:kupata control no ya kulipia maunganisho ya umeme,
Tokalini:last update from office past two weeks,kunahitajika surveyer kufika kuchukua coordinates site form ya tangu mwezi wa 10 jamani,site yenyewe ipo juu ya kwa maeneo ya kwa mkapa tu Hapa Hapa mjini