Mtanikumbuka kwa mema.
 
Ukiona hivyo ujue zama za Jiwe zilishapita
 
Utaambiwa wewe ni Sukuma Gang na wenzetu walio hamia Burundi.

Sito shangaa hizi projects za kusambaza umeme vijijini zikisimama,mzee wa schedule maintenance sijui yupo wapi.
 
Hii ni kweli kabisa hata mie mitaa ya kwetu umeme hukatika saa tisa mpaka kumi na mbili asubuhi.

Kuanzia miss hiyo sahau kulala inabidi uamke tu naona wameamua kutuamsha kwenda kazini ingali wengine tupo likizo.
 
Nadhani ni namna ya serikali hii kubana matumizi ili pesa zikajenge madarasa na kudhibiti UVIKO-19.
 
Watumishi wa TANESCO hamwoni aibu kukatika umeme kila mara wakati nanyi mnapata huduma zingine [elimu, afya, maji, usafiri, nk) kwa ubora kuliko yenu?

Au nanyi hutoa manung'uniko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…