TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Wakuu....this is too much

Mbona mambo yako vivid sana wakuu

Au ni wenge langu mim

Mbona shida ni nying au ni mim peke yangu

Kwanza nikiweka wese la 20 napata lita 7.8

Umeme unakata mfululizo leo nmehesab..ni wik ya 3 hii umeme kila siku unakata saa tisa usiku had saa kum na mbil asubuh

Mbona nateseka snaa jaman na haikuaga hiv?

Daaaaah eeh Mungu wangu eeeh.dahhh...
Mtanikumbuka kwa mema.
 
Ukiona hivyo ujue zama za Jiwe zilishapita
 
Wakuu....this is too much

Mbona mambo yako vivid sana wakuu

Au ni wenge langu mim

Mbona shida ni nying au ni mim peke yangu

Kwanza nikiweka wese la 20 napata lita 7.8

Umeme unakata mfululizo leo nmehesab..ni wik ya 3 hii umeme kila siku unakata saa tisa usiku had saa kum na mbil asubuh

Mbona nateseka snaa jaman na haikuaga hiv?

Daaaaah eeh Mungu wangu eeeh.dahhh...
Utaambiwa wewe ni Sukuma Gang na wenzetu walio hamia Burundi.

Sito shangaa hizi projects za kusambaza umeme vijijini zikisimama,mzee wa schedule maintenance sijui yupo wapi.
 
Hii ni kweli kabisa hata mie mitaa ya kwetu umeme hukatika saa tisa mpaka kumi na mbili asubuhi.

Kuanzia miss hiyo sahau kulala inabidi uamke tu naona wameamua kutuamsha kwenda kazini ingali wengine tupo likizo.
 
Nadhani ni namna ya serikali hii kubana matumizi ili pesa zikajenge madarasa na kudhibiti UVIKO-19.
 
Watumishi wa TANESCO hamwoni aibu kukatika umeme kila mara wakati nanyi mnapata huduma zingine [elimu, afya, maji, usafiri, nk) kwa ubora kuliko yenu?

Au nanyi hutoa manung'uniko?
 
Back
Top Bottom