Nyie TANESCO nauliza hivi ni kweli ofisi yenu ya Nyakato wilaya ya Ilemela Mwanza haina vifaa vya kuunganisha umeme kwa wateja wenu (mita na nyaya) manake nimelipia tangu 30/10/2021 inatakiwa nguzo moja,nikiulizia naambiwa nguzo ipo ila vifaa havijaletwa ,je ni kweli hivyo vifaa(mita na nyaya) havipo??

Na hiyo nguzo hadi sasa haijaletwa hapa nyumbani kwangu
 
Je uliandikaa namba ta simu ipi tafadhali
 
Je uliandikaa namba ta simu ipi tafadhali
Imekua ni tabia kila siku ikifika sanne au tatu asubuhi mnakata umeme na mnaurejesha mida ya saa mbili usiku

Na hata ukirudi mnaanza ule mchezo wa kukata kata kila baada ya dakika tano yaan inakua kata leta kata leta kata leta na hapo mmetushindisha mchana wote bila umeme..

Kwa hali hii biashara zetu tunaotegemea umeme zinakwama hivi mnajiskiaje nyie watu wa tanesco

Eneo mnalofanya hayo mambo ni Dumila-kilosa mkoa wa morogoro
 
Reactions: PNC
Tafadhali onesha namba ya simu na namba ya taarifa kwa wepesi wa kufanyia kazi taarifa zak
Ndugu zangu tanesco kama umeme wa kuendesha nchi tu ni shida hadi tunapata kwa mgao vp hyo treni ya umeme mtaindesha vp??
 
TANESCO hii miradi ya kisarawe II kigamboni mlipoweka nguzo tu, bajet yake bado tu haijatoka?...
 
Nyie TANESCO nimelipia umeme yangu tarehe 16/11/2021 lakini Hadi leo sijaunganishiwa umeme na mkataba wa maunganisho unasema Kama hapahitaji nguzo Ni siku 30 tu za kazi lakini Hadi leo hii NIPO MKOA WA IRINGA


MAJINA ABASS KASIM BOLOLO
NAMBA YA SIMU 0757093134/0734191974
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji Mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo Nimelipia Kuunganishiwa umeme Toka tarehe 06/11/2021 hapahitajiki hata nguzo lakini mpaka Leo sijafungiwa.

Ahsante sana
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji Mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo Nimelipia Kuunganishiwa umeme Toka tarehe 06/11/2021 hapahitajiki hata nguzo lakini mpaka Leo sijafungiwa.

Ahsante sana
Tumepolea taarifa zako kwa utekelezaji
 
Naomba kujua umbali wa kutoka nguzo moja ya tanesco kwenda nguzo nyingine ni mita ngapi
 
Habari,
Nimelipia KUUNGANISHIWA Umeme toka 21/10/2021.
Mpaka Leo Bado sijaunganishiwa.!
Je,lini NAMI nitafikiwa??
Majina Deogratius Kondowe
Simu
0714 411041
Eneo KINYEREZI msikitini DAR ES SALAAM.
 
Habari,
Nimelipia KUUNGANISHIWA Umeme toka 21/10/2021.
Mpaka Leo Bado sijaunganishiwa.!
Je,lini NAMI nitafikiwa??
Majina Deogratius Kondowe
Simu
0714 411041
Eneo KINYEREZI msikitini DAR ES SALAAM.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
 
Habari ndugu Tanesco, mimi nipo chanika niliomba kuunganishiwa umeme na nimelipa Tsh 27000/= na umeme bado sijapata je nitapaswa kulipia gharama mpya au mtaniunganishia kwa kile nilicholipia?
 
Habari ndugu Tanesco, mimi nipo chanika niliomba kuunganishiwa umeme na nimelipa Tsh 27000/= na umeme bado sijapata je nitapaswa kulipia gharama mpya au mtaniunganishia kwa kile nilicholipia?
 
hello tanesco naita AMEDEUS SOMI nipo Hai Kilimanjaro nimeshafanya taratibu zote za kuunganishia umeme kilichobaki ni mita tu sasa toka mwaka jana tar 20 mwez 12 masurveyor waliyokuja wanasema eti hamna mita no nchi nzima zile za South Arica mmeshazitoa sokoni now mna mpango wa kuja na zingine ni kweli? namba yangu 065328302
 
Tumepokea taafifa kwa hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…