Tulifika eneo lako mwezi wa Tisa na kugundua kuwa upo umbali wa zaidi ya mita 120 hivyo mpaka tusogese miundombinu ya umeme ndio unaweza kupata huduma, tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
ili kujua hatua zalizofikiwa nitabidi nisubiri muda gani?
 
Naitwa FRANK EMMANUEL MHONGOLE
WILAYA YA KASULU
0769533363 AU 0758027233
MITA NAMBA HAITAMBULIKI NASHINDWA KULIPIA UMEME.
MSAADA ZAIDI
 
, sasa ni karibu kila siku umeme unakatika hamna taarifa inayotolewa kweli tutapiga hatua kimaendeleo, kuna watu shughuli zao 100%zinategemea umeme, viongozi wa nchi mbona mko kimya kwa suala la kitaifa kama hili, jukumu lenu ni lipi sasa, kama mambo ya msingi hayaendi, mbona awamu iliyopita haijawahi kufikia kiwango hiki
 
Nimetuma taarifa zangu inbox naomba msaada Nina zaidi ya miezi 14 nafatilia umeme
 
Habari TANESCO, niko Tanga Hapa nilipo hatuna umeme kuanzia asubuhi mpaka sasa saa sita usiku na ni eneo dogo sio mtaa wote, nimejaribu kupiga Tanesco Tanga emergency simu zao hazipatikani. Kwa kweli ni tatizo
 
Habari TANESCO, nimepata tatizo luku iliisha nimeenda kununua narudi kujaza umeme namba za kuandikia kwenye mita hazifanyi kazi, nimewasiliana na nyie kwa namba hii 0748550000 nikapewa usaidizi na kweli mafundi wamefika mpaka nyumbani na wamesema mita inatakiwa kubadilishwa, lakini sijapewa maelekezo ya maana natakiwa kufanya nini niende wapi n.k kwani nashindwa kujaza umeme na token ninayo ni zile mita za ukutani, nilikuwa naomba naweza kuwapa mita namba na token mkaniwekea umeme kwani mpaka sasa ni giza na nashindwa cha kufanya, kwa wakati huu nasubiri huduma nipate umeme? na pia taratibu za kufuata napaswa nianzie wapi na kipi nifanye?
 
TANESCO msaada kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…