OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anajipimiaje wakati kamba imekatwaHuku wamekata kutwa nzima, kazi zimelala.........ngoja tusubiri waziri amalize kujipimia.
Wakiona nitag chief... Nahis wanaona aibu.TANESCO usijifanye hujaona uzi
Kamba haiwez katwa kwa mtoto pendwaanajipimiaje wakati kamba imekatwa
Na nguzo mbili je??515, 618/=
696,670/= endapo hakuna kikwazoNa nguzo mbili je??
Hapana TANESCO haina huduma ya kuuza mita wala kifaa chochote cha umeme bali inahusika na kuunganishia wateja umeme wale waliomba, kupimiwa na kulipiaMm naomba kuuliza nimesikia Tanesco mnauza meter ambazo mtu anaweza kuifunga chumbn kwake kwa 340000 naomben ufafanuzi
Asante sana!! Kuna hii changamoto ya umeme ktk nyumba za kupanga, unakuta wapangaji mnategeana kununua umeme mwisho wa siku mnalala giza au mmoja ndio anaumia Zaidi kwa kununua umeme kila mara unaoousha, je Kuna njia mbadala Kupunguza makali ya Hilo tatizo ?Hapana TANESCO haina huduma ya kuuza mita wala kifaa chochote cha umeme bali inahusika na kuunganishia wateja umeme wale waliomba, kupimiwa na kulipia
Sema ndg zangu Tanesco kuna jambo nashindwa kuwaelewa mlikuja kubadilisha mita ya zamani mtaa Lindi/congo nyumba namba 69"kariakoo.Hapana TANESCO haina huduma ya kuuza mita wala kifaa chochote cha umeme bali inahusika na kuunganishia wateja umeme wale waliomba, kupimiwa na kulipia
Tafadhali oneshaSema ndg zangu Tanesco kuna jambo nashindwa kuwaelewa mlikuja kubadilisha mita ya zamani mtaa Lindi/congo nyumba namba 69"kariakoo.
Ile mita ya zamani ilikuwa na unit 41 hamkuzirudisha/kuhamishia kwenye mita yenu mpya mliyoweka
Lakini cha kishanganza mita mliyoikuta ni ya makazi ila nashangaa feni fridge na taa kwa siku natumia unit 6.1 je hii ni haki
Au tuna kiwanda bubu chumbani?
Naomba majibu tafadhali
Wilaya ; IlalaTafadhali onesha
Wilaya
Namba ya simu
Namba ya mita
Imebadilishwa lini
Kwa hatua zaidi