Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Naona siku hizi hata PM hamjibu wala kuzifuatilia.Tafadhali onesha
Wilaya
Namba ya simu
Namba ya mita
Imebadilishwa lini
Kwa hatua zaidi
Ukijibiwa Vyema kama sio Porojo UnistueTanesco poleni, na majukumu.
Maswali
1. Kwa nini mnakata umeme zikionekana dalili za mvua?
2.Kwa nini mnaendelea kukata umeme mvua ikiendelea kunyesha tena wakati mwingine hakuna radi wala ngurumo ama upepo?
3. Kwa nini hali hii imejitokeza awamu hii ambayo, tumeambiwa sasa mmeishafanya 'maintainance' kwenye mfumo mzima wa umeme ambao inasemwa hakufanyika awamu iliyopita na sasa mna software mpya ya mambo ya management ya masuala la umeme ambayo mmeingia mkataba na kampuni ya nje hivi karibuni?
4.Awamu iliyopitia mlikuwa mnatumia mbinu gani kuhakikisha umeme haukatiki wakati mvua inanyesha huku mfumo wenu wa umeme mlikuwa hamuufanyii maintainance?
Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri.
Tanesco Tz
Nmefungiwa umeme ijumaa ya week iliyopita
Juzi alhamisi nikafanyiwa usajili wa meter
Nimenunua umeme kwa wakala mkuu kama mnavyoshauri na jina limetokea la kwangu hadi meter number, lakini nilipoweka huo umeme remote ikaonyesha tayari lakin nilipoangalia salio lipo lile lile lilikuja na meter nikaingiza tena remote ikasoma imetumika, sasa leo umeme umeisha kabisa hata nikinunua mwingine hali ni ileile unaingia lakini hausomi tatizo nini
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiJina.Hassani Hamisi Dibega
Eneo la Nyeburu-Chanika
Wilaya ya Ilala Dar es Salaam
Namba ya simu;0621532255
Tatizo: Nguzo ingejengwa toka November 2021, lakini mpaka 30January 2022 bado wire wa 50mm haujawekwa ili wateja wapewe control number kulipia service line,na inavyoonekana inaweza kufika July 2022 bila kutatua changamoto hii.
Matokeo yake, serikali inapoteza Kodi ya majengo, ambayo mwaka huu inakusanywa kupitia Luku
Mamlaka husika,zichukue hatua stahiki kutatua changamoto ya nyaya za umeme na nguzo
Ndugu mpendwa Mteja wetuDumila Tenesco tumewakosea nini toka jana hadi leo umeme haujarudi
Yaani toka mwezi wa 11 tuko kwenye mgao mkali usioisha Tanesco naomba majibu kuna matatzo gani Dumila
Eneo ni kata ya Dumila ipo wilaya ya Kilosa Mkoa wa MorogoroNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Tunashukuru kwa taarifaEneo ni kata ya Dumila ipo wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro
Tatizo ni kukosekana kwa umeme na tatizo hili limeanza toka mwezi wa 11 mwaka jana yaani umeme umekuwa unarudi kwa bahati sana na hata ukirudi unakatika katika
Mfano toka majuzi juzi jana umeme umezid spid ya kukatika yaani tunalala bila umeme Nasisitiza ni toka mwaka jana
Namba sina haja ya kukupa sababu tatizo lipo Dumila nzima sio nyumba moja
yani umeme umekuwa kama lulu, nipo mitaa hii transformer imetoa mlio mkali zaidi ya kombora.TANESCO Naomba nyinyi watu wa makao makuu mtusaidie wakazi wa Kimara mwisho,kila mara kunapokuwa na mvua,miundombinu yenu maeneo ya chuo cha ebonite,Mavurunza huwa inasumbua sana.Kuna transfoma maeneo hayo yaani mvua ikinyesha tu transforma hiyo lazima izingue na kutukosesha umeme.
Hebu tunaomba mfuatilie miundombinu hii isiendelee kusumbua hata kuwe na mvua,kama ilivyo maeneo mengine.transforma hii inatusumbua sana wakazi wa Kimara mwisho.
Leo hapa hatuna umeme hadi muda huu,transfoma imelipuka asubuhi!ni miaka zaidi ya miwili sasa hii transfoma inasumbua,kila mara kulipuka,na bado mnaing'ang'ania hiyo hiyo,matokeo yakr itasambaza hitilafu hata kwa miundombinu mingine sasa!embu jiongezeni kidogo basi wakuu,au mnapenda mambo haya?!
Zawadi gani wapuuzi hawa#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kutoa zawadi kwa watakaofanikisha kupatikana kwa vyuma vilivyoibiwa kwenye nguzo kubwa za umeme(Towers) zilizopo Kata ya Busale wilayani Kyela mkoani Mbeya.
#Zaidi Bofya>> TANESCO kutoa zawadi atakaesaidia kupatikana vyuma vilivyoibiwa. https://t.co/00cgAzJ6gK
yani umeme umekuwa kama lulu, nipo mitaa hii transformer imetoa mlio mkali zaidi ya kombora.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhaliMariam Hindi Maruhe(0652838467),
Athumani Huseni(0686200135),
Farida Ayoub(0715760990)
Eneo: Taliani Chanika
Wilaya ya Ilala
Namba za simu angalia hapo juu
Tatizo;
Kujengewa service line kwa wateja zaidi ya 15 walio hamishwa kutoka Kigilagila na kupelekwa Nyeburu/Taliani mwaka 2011.
Tatizo lilianzia lini?
Tatizo lilianza November 2011wakati Mradi wa REA haukuwafikia baadhi ya wananchi waliohamishwa kutoka Kigilagila. lakini baada ya kufuatilia kwa miaka mingi, Mwezi Mei,2021, TANESCO,waleta barua ya kuahidi kuwa wale ambao hawakufikiwa na mradi mwaka wa fedha ulioishia June 30,2021 watapata huduma mwaka wa fedha unaoanza July 01,2021.
Tarehe 16 August 2021, TANESCO walifika Mtaa wa Taliani na kufanya survey kwa wateja zaidi ya kumi na tano ambao wanahitaji nguzo nne ili kupata umeme wa REA(Pari urban).
Ni miezi mitano na zaidi, imepita tangu survey ifanyike, lakini TANESCO bado hawaja waangazia Maisha.
Ushauri
1). Board na Management ya TANESCO,waweke mikakati ya kupunguza kama siyo kutokomeza changamoto ya wateja kuunganishiwa umeme bila usumbufu na ucheleweshaji.
2). Ni vema wateja wakawa wanapewa feedback kwa maana kwenye fomu za maombi huwa kuna namba za simu.