Alipoteuliwa nikajua mama suala la maendeleo siyo kipa umbele chake lbd suala la nani anakeki ya kutosha mkononi mwake ndiko la maana.
 
Yaani najiandaa kupiga pasi umeme unakatika this is too much,jua likiwepo umeme unakatika,mvua ikiwepo umeme unakatika [emoji134]
 
Pole sana Mkuu kwa Changamoto hio nadhani hali ya Mvua nchini imeharibu sana miondombinu ya hawa wadau, Ivo tuwavumilie katika kipindi hichi kigumu wanachopitia ila pia ushauri kwa Tanesco sehemu zenye Maji maji ni bora tuweke Nguzo za Zege izo huleta stability na ni durable compare na Wooden poles
 
Miaka mingine hakukuwa na mvua !
 
Tulifika eneo lako mwezi wa Tisa na kugundua kuwa upo umbali wa zaidi ya mita 120 hivyo mpaka tusogese miundombinu ya umeme ndio unaweza kupata huduma, tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Sijui aliyefanya savey aliamua kunihujumu maana kwangu ni kama nguzo 2 ila kwasababu kuna nyumba umezuia nguzo ilibidi kuna ile nguzo ndogo kwaajili ya ku jumpa ambayo ni kama mita 5 hivi ndio upate njia ya kuingia kwangu ambapo ni nguzo 2 tu sasa sijui utanisaidiaje kwani saveyor inainekana kafanya makosa hapo kusema ni nguzo 3 wakati mahitaji yangu ni 2 ila kuna nguzo imezuiwa na nyumba ilibidi kusogeza 5mita tu je hiyo 120+ inatoka wapi? Naomba msaada wako nimekwamishwa
 
Tulifika eneo lako mwezi wa Tisa na kugundua kuwa upo umbali wa zaidi ya mita 120 hivyo mpaka tusogese miundombinu ya umeme ndio unaweza kupata huduma, tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Hiyo nguzo ya tatu ni ile mnaita setting hailipiwi sasa kama kwangu ni nguzo mbili hiyo 120+inayoka wapi?
Mimi ninahitaji nguzo 2 na hiyo ya tatu ni ile mnaita setting
NAOMBA MSAADA HAPA
 
Toka saa sita mchana mpaka muda huu eneo la Ilala kuanzia sharing moyo mpaka bungoni umeme umekatwa tatizo nini?
 
Umelipa TSh 6,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:54205135483. Muamala: 25472915640. Salio jipya ni TSh 96. Jumla ya Makato TSh 100. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 15. 25/01/22 21:11.

Naomba msaada tafadhali tokeni hawatoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…