SHIRIKA LA UMEME TANZANIA(TANESCO)

TAARIFA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA UMEME – MKOA WA MBEYA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Mbeya kuwa, kutakuwa kazi ya kuboresha miundombinu ya umeme itakayosababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme kama ifuatavyo:

ALHAMIS, TAREHE 14-09-2017.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Sae, Mwakibete, Shewa, Ituha na Chanzo cha maji Ruanda Nzovwe

IJUMAA, TAREHE 15-09-2017.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mafiat, Iyela, Airport, Mwanjelwa, Soweto, Ilomba, Sae na Uyole

JUMAMOSI, TAREHE 16-09-2017.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mafiat, Iyela, Airport, Mwanjelwa, Soweto, Ilomba, Sae, Uyole na maeneo yote ya Wilaya za Chunya na Mbarali

MUDA: Kuanzia 03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni

SABABU: MATENGENEZO KWENYE KITUO CHA GRIDI MWAKIBETE- MBEYA.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka, toa taarifa kupitia dawati la dharura Mkoa wa Mbeya simu namba:

- 0759 777781
- 0787 023422

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
14/09/2017

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA UMEME MKOA WA TEMEKE


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke
linawataarifu wateja wake kuwa, kutakuwa na maboresha ya miundombinu ya umeme kwa kufanya kazi ya Kubadilisha nguzo za laini kubwa zilizooza, kunyoosha nguzo zilizolala na kufanya maboresho kwenye transfoma maeneo inapopita laini kubwa ya Tandika 3 na Tandika 4, siku ya Jumamosi 16 septemba, 2017 kuanzia saa 02.00 Asubuhi hadi saa 11.00 Jioni. Kutokana na matengenezo hayo baadhi ya maeneo yatakosa umeme ambayo ni Yombo Maguruwe, Tandika Nyamwera, Yombo Dovya, Njia panda ya Mwinyi , Kilakala , Mabomba nane Mwisho wa Rami, Chalinze, Malawi, Tandika Maguruwe, Kisiwani, Sandali, Buza, Yombo Vituka Mashine ya maji,


Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:

Toa taarifa Dawati la dharura Mkoa wa Temeke 0712052720, 0788 499014, 0732997361, au Kituo cha miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
Bagamoyo mjini mitaa ya nianjema na magomeni
Hata kwa private mesage


TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Baada ya hiyo REPLY yangu mliomba namba za simu nikawapa ila naona mmevunga, hakuna updates zozote.
Pole sana mpendwa mteja
Tunaomba namba yako, mkoa na wilaya yako na huduma unayoomba

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Mkuu, naomba kujua tatizo ninini, nimeomba kuunganishiwa umeme kwa umbali wa nguzo moja na kulipia toka January 2017, mpaka ninapoongea sijaungiwa umeme. Nipo Kyela. Naomba kujua tatizo ninini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, naomba kujua tatizo ninini, nimeomba kuunganishiwa umeme kwa umbali wa nguzo moja na kulipia toka January 2017, mpaka ninapoongea sijaungiwa umeme. Nipo Kyela. Naomba kujua tatizo ninini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umelipa kwa jina gani, namba ya simu na namba ya fomu yako

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Kuna msoma meter mmoja kila akija kwangu ananitishia kuwa meter yangu imekorogwa so nimpatie milioni moja ili soo liishe. Nikamwambia hii meter imewekwa na tanesco .sijui iyokitu unayosema imechezewa kvp anakosa jibu
 
Kuna msoma meter mmoja kila akija kwangu ananitishia kuwa meter yangu imekorogwa so nimpatie milioni moja ili soo liishe. Nikamwambia hii meter imewekwa na tanesco .sijui iyokitu unayosema imechezewa kvp anakosa jibu
Tunaweza kupata jina la msoma mita huyu pamoja na kituo anachofanya kazi bila kusaau taarifa zako ilintuweze kulifikisha sehemu huska na ikiwezekana kubadilishiwa mita na kiwekea mita ya luki ili kutoa usumbufu huo...

TANESCO
MAKAO MAKUU
HUDUMA KWA WATEJA
Kituo cha miito:0768985100 AU 022 2194400
Barua pepe:customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.twiter.com/tanescoyetu
www.facebook.com/tanescoyetu
 
Tunaomba mtupatie umeme eneo la MGEULE (uwanja wa mpira, kwa mama NURU), kata ya Buyuni, wilaya ya Ilala, DSM. Nyumba zimeongezeka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Lindi region you're very rotten, ata hapa naandika nikiwa gizani,shirika gani limekua kama wanasiasa
 
Hivi Tanesco mmeanza mgawo wa umeme? Mbona kila siku lazima umeme ukatike Gongolamboto na Pugu? Mnakera sana
 
Tanesco ya kisarawe imekua kero kubwa kwa wana nchi wa maeneo hayo na kusababisha uhalifu mkubwa maeneo hayo kwa kukata Umeme sana usiku mpaka kuwapa kero jeshi la polisi

..kama wana nufaika na ualifu unao tokea kisarawe na pugu tujue ..
 
Tanesco ya kisarawe imekua kero kubwa kwa wana nchi wa maeneo hayo na kusababisha uhalifu mkubwa maeneo hayo kwa kukata Umeme sana usiku mpaka kuwapa kero jeshi la polisi ....
..kama wana nufaika na ualifu unao tokea kisarawe na pugu tujue ..
Upo eneo gani haswana namba yako ya simu mpendwa mteja,je hauna umeme leo

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Hivi ninyi Tanesco hawa vishoka tangu wameanza hadi leo mmeshindwa kuwadhibiti? Naina wa meshakua CHAIN SAW.... Soon wanakuwa grada...

Sent using Jamii Forums mobile app
Shirika limeendelea kuchukua gatua kali kwa wote wanaonaswa,hivyo tunakuomba wewe pamoja na wateja wengine kama mna taarifa zao mtoe taarifa polisi au ofisi zetu kwa hatua za kisheria

TANESCO Makao Makuu

Huduma kwa Wateja

Simu: 0768985100/0222194400

Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu

www.twitter.com/tanescoyetu

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…