MOREMI2006
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 551
- 548
Nchi nyingi za ulimwengu wa tatu bado hatujaweza kujitegemea kuanzia bajeti na mambo mengineyo na hata tekinolojia tunayo itumia sio yetu na tekinolojia ni gharama kubwa sana kiasi kwamba hatuwezi kuimudu.Miaka karibu 50 toka shirika lianzishwe wameshindwa tatua tatizo
Labda wapewe miaka 90 mingine ndio wataweza mkuu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tafadhali onesha namba ya simu uliyoandoka kwenye fomu yako kwa hatua zaidiShughulikeni na suala la kuunganishia watu umeme hasa wateja wapya, kuna ambao wameomba wanazungushwa tu hata control namba hazitoki kwa wakati ili walipie waunganishiwe umeme japo ni wa bei mbaya kwa sasa laki tatu plus badala ya 27,000
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi tafadhaliTANESCO tunatambua ni kweli kuna mgao wa umeme kwa siku 10 nchini hilo silipingi.
Na ratiba ya Dumila ambayo ipo kanda ya Mtibwa ilikuwa ni tarehe 1 pekee ambapo mlikata na kurudisha saa 6 usiku
Sasa huu ukatikaji wa hovyo wa umeme unaoendelea hapa Dumila ni wa nini?
Tarehe 2 umeme ulikatika mara 3
Tarehe 3 ambayo ni jana umeme umekatika mara 3 ila ilipofika saa 8 usiku ukakatika tena na haujarudi hadi sasa hivi
HIVI MNAJISKIAJE KILA MARA NINAVYOLALAMIKA HAPA huku mkiishia kusema mnalifanyia kazi na hakuna mabadiliko yoyote yale?
Nmeshapimiwa survey alishakujaJe umepomiwa lini? Tafadhali onesha namba ya simu na Wilaya kwa hatua zaidi
Tunashukuru kwa swali, mnaweza kuomba mita kwa kila frame au kununua sub meters kwa ajili ya kusoma matumizinya kila mmoja wenu na vinawekwa na fundi wenu wa umemeZile mita kwa ajili ya fremu za maduka zinazojitegemea zipo tena kweli? Maana kero kubwa ya wapangaji wa vyumba haswa fremu ni kudaiwa kuchangia bili za umeme usioendana na matumizi. Wenye nyumba wanaamua tu wapendavyo.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhaliNmeshapimiwa survey alishakuja
Tangu 18 January 2022
Mkoa Kilimanjaro
Wilaya Rombo
Office nliochukulia form na kurudisha
ni Tarakea wilaya ya Rombo
Phone 0745140560
Jina Aristidis s shirima
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onesha namba ya simu kwa wepesi wa kufatilia na hatua zaidiKuna sehemu inaitwa Kigelo, Kongowe, Kibaha. Pwani. Hapa. Kigelo kila mvua inyeshapo lazima umeme ukatike. Sasa hivi ( 2.11 am ,5th February, 2022) Kuna kajimvua ka mkia wa mbuzi na umeme umekatika.
Meneja Tanesco mkoa wa pwani, Kama umeshindwa kutatua hili tatizo la muda mrefu Sasa. (Tangu meneja mchapakazi kustaafu) achia ngazi Kuna vijana wa dot.com wanaweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi zaidi.
Kuna haja gani wewe kulalia hicho kiti ilhali kila siku tunaibiwa kisa umeshindwa kuleta umeme wa uhakika.
AhsanteTumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Ndugu Mpendwa Mteja wetu!Tabora malolo kombamasai bado tunatizama nguzo hatujui kinacho endelea
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetuBinafsi leo TANESCO nimefurahishwa na response yenu kwa emergence case niliyoitolra taarifa leo. Kwa kweli leo mmenikosha
1. Ninepiga namba hii 0748550000 ya emergence, kuanzia response ya yule mama aliyepokea simu na jinsi alivyonipa maelekezo kwa kweli yupo vizuri
2. Baada ya kupewa refference namba na simu kukatwa, nikapigiwa na watu wa emergence kwamba niwaelekeze nilipo na fasta wakaja
3. Yaani within saa moja ishu ikawa imetatuliwa
KWAKWELI LEO MMEJUA KUNIFURAHISHA
HONGERENI SANA KWA HILI LA LEO KWANGU
Wilaya chanika tatizo tarifTatizo ni nini
Wilaya
Namba ya simu tafadhali