TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari tanesco niliomba kubadilisha tarrif kwa ofisi ya kisarawe na ofisi iliyohamishiwa chanika naambiwa itabadilishwa lakini mpaka wa leo naona hola
Namba ya mita 24219382546 jina Andrea donati mkazi wa nyeburu buyuni
Naombeni msaada wenu maana vigezo ninavyo
Taarifa zangu ni hizi
 
TANESCO kwann Wilaya ya Urambo Umeme unakatika katika sana
Shida nn Yaani kwasiku umeme unakatika Mara 6-7 kweli
iwe Mchana,Usiku,Asubuhi Yaani Haieleweki kabisa
 
TANESCO Kuna shida gani huku mbezi beach maeneo ya makonde mbona mmekata umeme toka taa tano jamani na mvua hii hali ya ulinzi sio salama?

Why mvua ikinyesha kidogo mnakata umeme why????
 
TANESCO Kuna shida gani huku mbezi beach maeneo ya makonde mbona mmekata umeme toka taa tano usiku jamani na mvua hii sasa tunaamka tujiandae kwenda maofisini tunaondokaje nguo hatujapiga pasi???
 
TANESCO Kuna shida gani huku mbezi beach maeneo ya makonde mbona mmekata umeme toka taa tano usiku jamani na mvua hii sasa tunaamka tujiandae kwenda maofisini tunaondokaje nguo hatujapiga pasi???
Tumepokea taarifa kulikuwa na hitilafu kwenye laini yetu ya TG2 tunaifanyia kazi tafadhali
 
TANESCO kimara siku ya tatu mfululizo tangu juzi hatuna umeme,tofauti na ratiba yenu mliyotangaza.this is not fair.mnategemea tuishi vipi jamani?

Mungu atashughulika na hii serikali inayotia umasikini raia wake.endeleeni kwa raha zenu majibu mtayapata soon!watanzania hatuandamani wala kupiga kelele sana sababu Mungu wetu ana nguvu sana.

Endeleeni kutowajibika very soon mtamponza hadi huyu mama.mnaonisoma hapa nisomeni vizuri mkariri bila kusahau.Siku si nyingi mtajifunza kwa njia ngumu wajibu wa viongozi kwa raia wake.

Nchi imetulia tulii na bado mnatuonea tu hata haya mambo ya msingi ya maisha!mnataka nini?! litokee?!unawezaje kukaa wiki nzima huna umeme hata kidogo?!nyie mnaishi dunia gani?au kwa vile mmeajiriwa hamjui uchungu wa biashara?!basi subirini.
 
TANESCO kimara siku ya tatu mfululizo tangu juzi hatuna umeme,tofauti na ratiba yenu mliyotangaza.this is not fair.mnategemea tuishi vipi jamani?!Mungu atashughulika na hii serikali inayotia umasikini raia wake.endeleeni kwa raha zenu majibu mtayapata soon!watanzania hatuandamani wala kupiga kelele sana sababu Mungu wetu ana nguvu sana.Endeleeni kutowajibika very soon mtamponza hadi huyu mama.mnaonisoma hapa nisomeni vizuri mkariri bila kusahau.Siku si nyingi mtajifunza kwa njia ngumu wajibu wa viongozi kwa raia wake.Nchi imetulia tulii na bado mnatuonea tu hata haya mambo ya msingi ya maisha!mnataka nini?! litokee?!unawezaje kukaa wiki nzima huna umeme hata kidogo?!nyie mnaishi dunia gani?au kwa vile mmeajiriwa hamjui uchungu wa biashara?!basi subirini.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
TANESCO ni Kimara mwisho laini ya Dawasco,Mavurunza,TRA.tangu mgao huu uanze tumekuwa na umeme siku mbili tu,nyingine zote mnakata.wiki ndio mfululizo,mara ya mwisho kuwa na umeme full ni jpili.tutaishije namna hii?!
 
Wakazi za kimara lini mtatuwashia umeme? Kila siku mnaukata mchana kutwa mnakuja kurudisha usiku ,mnategemea wapi tuende kufanya kazi?
 
Mimi nina mswali mawili ingawa sijui kama ni maswali au maoni mtaona namna mtakavyoyaweka[emoji2960]

01.Mnapango gani au mikakati gani ya kuhakikisha manunuzi ya umeme yanakua ni ya moja kwa moja kama unaponunua au kulipia huduma za ya ving'amuzi ili tuondokane na mambo ya rimont?

02.Mwl.nyerere aliamua kuanzisha mfumo wa vyama vingi ili kuleta muwamko katika siasa hasa pale alipoona kwa kuendelea kuwa na chama kimoja chama kitajisahau kufanya majukumu yake...

Hivyo hivyo kwa upande wa mawasiliano tukiona kuna sababu ya kuwa na zaidi ya mtandao mmoja ili kuleta chachu ya maendeleo je hamuoni kuwa kuna haja ya nyinyi kutoa fursa kwa tasisi nyingine kutoa hudumu mzitoazo ninyi ili kuleta chachu ya maendeleo?!!![emoji120]
 
TANESCO Leo Dumila hadi Sasa mmeshakata umeme si chini ya mara Saba

Sema kutokana kuwa mmetoa Taarifa ya matengeno Kwa siku ya kesho kwa wale tunaopata umeme kupitia kituo cha Msamvu bas wacha niwape muda Kwanza Hadi keshokutwa kama katakata itaendelea au itakuwa imepungua kwa kias kikubwa maana kuisha najua ni ngumu

Niwatakie Kazi njema
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
TANESCO naomba mnipatie namba ya mawasiliano Wilaya ya Temeke hasa wanaohudumia kitongoji cha Chang'ombe na Keko
 
Back
Top Bottom