Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa zangu ni hiziHabari tanesco niliomba kubadilisha tarrif kwa ofisi ya kisarawe na ofisi iliyohamishiwa chanika naambiwa itabadilishwa lakini mpaka wa leo naona hola
Namba ya mita 24219382546 jina Andrea donati mkazi wa nyeburu buyuni
Naombeni msaada wenu maana vigezo ninavyo
Hehehhee subili waanze katakata yaoNalalamikaga saana Ila Leo niwapongeze toka mliporudisha umeme Jana saa 2 usiku Hadi Sasa hivi hamjakata hata maramoja Kazi nzuri Tanesco muendelee hivyohvyo
Duu. SawaMbagara ni nusu pori nusu mjini wacha wakate tu....ngedere nao wanahitaji giza...
Tumepokea taarifa kulikuwa na hitilafu kwenye laini yetu ya TG2 tunaifanyia kazi tafadhaliTANESCO Kuna shida gani huku mbezi beach maeneo ya makonde mbona mmekata umeme toka taa tano usiku jamani na mvua hii sasa tunaamka tujiandae kwenda maofisini tunaondokaje nguo hatujapiga pasi???
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO kimara siku ya tatu mfululizo tangu juzi hatuna umeme,tofauti na ratiba yenu mliyotangaza.this is not fair.mnategemea tuishi vipi jamani?!Mungu atashughulika na hii serikali inayotia umasikini raia wake.endeleeni kwa raha zenu majibu mtayapata soon!watanzania hatuandamani wala kupiga kelele sana sababu Mungu wetu ana nguvu sana.Endeleeni kutowajibika very soon mtamponza hadi huyu mama.mnaonisoma hapa nisomeni vizuri mkariri bila kusahau.Siku si nyingi mtajifunza kwa njia ngumu wajibu wa viongozi kwa raia wake.Nchi imetulia tulii na bado mnatuonea tu hata haya mambo ya msingi ya maisha!mnataka nini?! litokee?!unawezaje kukaa wiki nzima huna umeme hata kidogo?!nyie mnaishi dunia gani?au kwa vile mmeajiriwa hamjui uchungu wa biashara?!basi subirini.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiTANESCO Leo Dumila hadi Sasa mmeshakata umeme si chini ya mara Saba
Sema kutokana kuwa mmetoa Taarifa ya matengeno Kwa siku ya kesho kwa wale tunaopata umeme kupitia kituo cha Msamvu bas wacha niwape muda Kwanza Hadi keshokutwa kama katakata itaendelea au itakuwa imepungua kwa kias kikubwa maana kuisha najua ni ngumu
Niwatakie Kazi njema
TANESCO naomba mnipatie namba ya mawasiliano Wilaya ya Temeke hasa wanaohudumia kitongoji cha
Unachagua taarifa ya kutoa majibuTumepokea taarifa kwa hatua zaidi