MOREMI2006
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 551
- 548
Nchi nyingi za ulimwengu wa tatu bado hatujaweza kujitegemea kuanzia bajeti na mambo mengineyo na hata tekinolojia tunayo itumia sio yetu na tekinolojia ni gharama kubwa sana kiasi kwamba hatuwezi kuimudu.Miaka karibu 50 toka shirika lianzishwe wameshindwa tatua tatizo
Labda wapewe miaka 90 mingine ndio wataweza mkuu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nina imani tukiweza kujimudu kibajeti na kitekinolojia hayo yote itakuwa ni rahisi kutekelezeka