Mkoa wilaya eneo na namba yako ya simu tafadhali,jina la mtuhumiwa pia unaweza kututumia inbox kwa uchunguzi na hatua zaidKuna msoma meter mmoja kila akija kwangu ananitishia kuwa meter yangu imekorogwa so nimpatie milioni moja ili soo liishe. Nikamwambia hii meter imewekwa na tanesco .sijui iyokitu unayosema imechezewa kvp anakosa jibu
75 kwa mwezi ukiwa chini ya hapo fika ofisi inayokuhudumia utajaza formHivi tarrif ya chini inatakiwa mtu asizidishe unit ngapi kwa mwezi?
Nipo maeneo ya pugu sasa ni kama zaidi ya wiki sasa wana tukatia Umeme wapendavyoUpo eneo gani haswana namba yako ya simu mpendwa mteja,je hauna umeme leo
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Simu: 0768985100/0222194400
Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti:www.tanesco.co.tz
Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Narudia tena, daadekiPole sana mpendwa mteja
Tunaomba namba yako, mkoa na wilaya yako na huduma unayoomba
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Simu: 0768985100/0222194400
Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti:www.tanesco.co.tz
Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Tumelipokea mpendwa mtejaNarudia tena, daadeki
Tulinunua umeme kwa mpesa, tukapata token bila shida ilikua ni tarehe 19/08/2017
22124324272
Rcpt MAXCO33EMDB68126462
Units 22.5KWH
Token 7311 6177 2500 8893 4095
Cost TZS 6557.38
Serv Charge TZS 0.00
Tax TZS 1442.62
Total TZS 8000
eSign
Ila uligoma kuingia meta ikisema TOKEN USED.
TUkapiga mpesa wakatuelekeza tuwapigiwe. Basi tukawapigia nikaambiwa niende mbezi kibanda cha mkaa pale kwenye ofisi zenu.
Nilipokelewa vizur kontena la kwanza getini emergency mpaka nikajiona mfalme. (Hongera kwa wale madada)
Ila nikelekezwa kontena jingine pale nikakutana na muhudumu kizaazaa... (Ni mpuuzi)
Ila tatizo ni kwamba mpaka leo hii hatujabadilishiwa token mpaka imekua shida.
Namba ya mita - 22124324272
Eneo; mbezi kibanda cha mkaa
Namba iliyonunulia umeme - 0768 355206
Nambari yangu binafsi - 0656 400654..
Alaf na leo mvunge mana detail zote nishawapa..
Tumeipokea mpendwa mteja tutawasiliana na wewe kwa ufatilaiaji zaidi[HASHTAG]#Tanesko[/HASHTAG]..
Watu watatu tulijiorganize tuka lipia nguzo ,tukamteua mmoja wetu kufuatilia umeme ,akajasurveyor akatupiagia mahesabu na vipimo vilikuwa ni mita 35,tuka wekwa kwenye foleni baadaye nguzo ikaja ikasimikwa ndani ya siku tatu wakaja kuing'oa kwamba mita hamsini hazija fika nguzo imefichwa ,.sasa wakaongeza mita kuminatano zina gotea kwenye njia ya MTU ,Tanesko wana ng'ang'ania kuchomeka njiani hapo hapo kwakuwa kuna watu ambao hawajachanga wametoa kitu kidogo kwa BUDODI,AMBAYE NI surveyors NA MRAMBA ,,WAKISHIRIKIANA NA MENEJA,,,TOKA MWAKAJANA MWEZI WA KUMI NA MOJA MPAKALEO HAWAJA WASHA MWENYE NJIA KAGOMA LAKINI WAO WANANG'ANG'ANIA.
JE NILAZIMA ZIFIKE MITA HAMSINI WAAKATI WALIO LIPIA NGUZO NI WENGINE NA HAWAJA LALAMIKA.
KITUO CHA TANNESKO NYAKATO NA KANDA YA ZIWA IGOGO PEPSI HAKUNA MSAADA WANA TUYUMBISHA TU SI BORA HIYO LAKI TANO NA POINT TULIYO LIPIA NGIZO TUKA NUNUA HATA KASORA.
0765919620 KWA MAEELEZO ZAIDI NAMBA YA MUHANGA.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yan imebid nicheke tu.Tumelipokea mpendwa mteja
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Simu: 0768985100/0222194400
Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti:www.tanesco.co.tz
Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Hapa JF wana account yao jaribu kuwasiliana nao labdaMimi ni Mkazi wa Kipunguni-Moshi Bar,nimepeleka maombi ya kuunganishiwa huduma ya umeme tangu mwezi wa 5 2017 lakini cha ajabu mpaka leo hii sijaambiwa ni lini nitapata huduma hiyo.
Wanajamvi nisaidieni kuna njia nyingine labda napaswa kutumia ili nipatiwe huduma hiyo??
Kwa hali ilivyo Tanesco tutawachoka sasa
Umeomba umeme kwa jina gani namba ya simu na eneo ganiMimi ni Mkazi wa Kipunguni-Moshi Bar,nimepeleka maombi ya kuunganishiwa huduma ya umeme tangu mwezi wa 5 2017 lakini cha ajabu mpaka leo hii sijaambiwa ni lini nitapata huduma hiyo.
Wanajamvi nisaidieni kuna njia nyingine labda napaswa kutumia ili nipatiwe huduma hiyo??
Kwa hali ilivyo Tanesco tutawachoka sasa
naulizia vp kuna eneo kigamboni linaitwa lugwadu kwa sasa wamehamishia wilaya ya mkuranga tuliahidiwa umeme mwezi wa tatu ukapita tukaambiwa mwezi wa 6 pia umepita je tutaletewa lini75 kwa mwezi ukiwa chini ya hapo fika ofisi inayokuhudumia utajaza form
TANESCO Makao Makuu
Huduma kwa Wateja
Simu: 0768985100/0222194400
Barua pepe: customer.service@tanesco.co.tz
Tovuti:www.tanesco.co.tz
Mitandao ya kijamii
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Malalamiko ya deni kama ulivyosema yanatokana na aliyekuwa anaishi kabla yako hivyo kama hauridhishwi nayo andika barua kwetu peleka ofisi inayokuhudumia utapatiwa maelezo kwa kina kwa maandishimi nasikitika saana tanesco nimehamia katika nyumba nina mwaka wa pili nanunua umeme bila tabu hivi juzi nimenunua nimekatwa nusu naambiwa kuna deni nimefatilia nimeambia kuna deni la nyuma mwenye nyumba anadaiwa m 3 na upuuz nimemuuliza anasema anadaiwa m 1 na upuuz tu hadi sasa naandika sijapata ufumbuz nazid kukatwa tu na hii nyumba nayokaa ina mita nne je kuna uwezekano dwni hili nikahamishia mita anayotumia mwenyw nyumba