Siku ya pili Leo mfululizo Dumila hatuna umeme Na TANESCO MPO tu
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Jana Tu nimetoka kuwapa Taarifa Kamil hapahapa Na Leo mnataka tena au ni mfumo wa robot unaojibu
Haukuweka namba ya simu wala eneo gani haswa, Dumila ni eneo kubwa na sio kubwa lote halina umeme
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Tanesco mnajitahidi kwasasa hasa Kitengo cha habari..Simu wanapokea haraka, wanaitikia wito kwa muda mfupi na wana ushirikiano mzuri sana...
 
Tafadhali weka taarifa kamili hata PM tukuhudumie
Toka Muda nishatoa Taarifa Ila Utekelezaji Hakuna
Hivi si mumfukuze Meneja wenu Kanda ya Mvomero maana Hakuna akifanyacho zaidi ya Kula mshahara wa bure tu
UMEONA HIYO PICHA NI JANUARY 23 NALALAMIKAGA TU HADI LEO NA KAZI YENU NI KUSEMA MNAFANYIA KAZI
 
Hawana huruma na wananchi
 
Habari hivi pamoja na kupandisha gharama za kuunganisha umeme 27000 mpk 320000 Bado mkoa wa Ruvuma wilaya ya SongeaMITA za umeme ni changamoto?
 
Ukweli ni kwamba, tangu atutoke JPM, umeme umekuwa ni shida sana hapa Nchini. Umeme unakatika karibu kila siku na kila muda.

Kwa kuwa hali kama hii haikuwahi kutokea wakati wa JPM, tatizo lililopo sasa ni kwamba; wanaoongoza Wizara hii ni wale wezi, wahujumu na walanguzi ambao JPM aliwatupilia mbali.

Lakini sasa hao ndo wanaoongoza. Ni shida sana.

Lakini Mungu mkubwa, 2025 siyo mbali sana. Kwa hakika kila mtu atavuna alichikipanda.

Hatuwezi kuwa na viongozi wabovu kiasi hiki.
 
Hao wanaosemekana ni wezi,wahujumu na walanguzi wanatokea chama cha majizi:Unashangaa nini?
Hebu fafanua hiyo 2025 unataka iweje?Mnajipanga kuja kutuimbia wimbo mwingine wa mitano tena au ni ile ile?
Tumesema mara nyingi mno kwamba ndani ya CCM hakuna viongozi wa kuwaletea wananchi maendeleo,wote ni wachumia tumbo na wanalindana.
Tunataka Katiba mpya haraka ili tuliponye Taifa letu.
 

 
Mlifurahia kifo cha JPM.

Pumbervu
 
January ni very useless....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…