TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Siku ya pili Leo mfululizo Dumila hatuna umeme Na TANESCO MPO tu
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Jana Tu nimetoka kuwapa Taarifa Kamil hapahapa Na Leo mnataka tena au ni mfumo wa robot unaojibu
Haukuweka namba ya simu wala eneo gani haswa, Dumila ni eneo kubwa na sio kubwa lote halina umeme
 
Anyway Mimi ndio mwenye Shida wacha nirudie tena kuandika tatizo langu

Mimi ni Mwanachi kutoka Dumila iliyopo Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro

Tatzo langu ni ukatikaji wa umeme kiholela toka mwezi wa 11 mwaka Jana

SIO kwamba nyuma ulikuwa haukatiki Ila toka mwezi wa 11 umekuwa ni mgao mkali uliopitiliza Na ambao haujawahi kutokea

Yaani Kwa Wiki umeme unaweza katika hata Kwa siku 4 mfululizo Na hapo hata siku tukiachiwa tushinde nao basi utakatwa hata mara 5 Hadi 10 Na imefika wakati ni Kawaida kulala bila umeme

Kuhusu namba Za simu naona hazina haja sababu tatzo ni la Dumila yote yaani Kata nzima ya Dumila Ila kama ingekuwa ni kimitaa ningeweka mawasiliano yangu

Nasubiria Majibu maana Majuzi umeme umekatwa karbu mara 10 juzi nako hivyohvyo Jana haukushinda kabisa Na Leo Napo Hakuna kabisa
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Tanesco mnajitahidi kwasasa hasa Kitengo cha habari..Simu wanapokea haraka, wanaitikia wito kwa muda mfupi na wana ushirikiano mzuri sana...
 
Tafadhali weka taarifa kamili hata PM tukuhudumie
Toka Muda nishatoa Taarifa Ila Utekelezaji Hakuna
Hivi si mumfukuze Meneja wenu Kanda ya Mvomero maana Hakuna akifanyacho zaidi ya Kula mshahara wa bure tu
UMEONA HIYO PICHA NI JANUARY 23 NALALAMIKAGA TU HADI LEO NA KAZI YENU NI KUSEMA MNAFANYIA KAZI
Screenshot_20220216-161749.jpg
 
Ujue tunapitia kipindi kigumu mno Kwa Sasa Dumila halafu Muda huo umeme Hakuna Na Kazi bila umeme haziendi Na unapishana Na Hela Tu hasara kibao halafu unawakia TRA wanatangaza sijui hakikisha unalipa kodi mara porojo Na vitisho kibao yaani unatamani hata ukate kichwa cha mtu Ila ukikumbuka kuwa nao wanatumwa Tu unaishia kuwakimbia
Hawana huruma na wananchi
 
Habari hivi pamoja na kupandisha gharama za kuunganisha umeme 27000 mpk 320000 Bado mkoa wa Ruvuma wilaya ya SongeaMITA za umeme ni changamoto?
 
Ukweli ni kwamba, tangu atutoke JPM, umeme umekuwa ni shida sana hapa Nchini. Umeme unakatika karibu kila siku na kila muda.

Kwa kuwa hali kama hii haikuwahi kutokea wakati wa JPM, tatizo lililopo sasa ni kwamba; wanaoongoza Wizara hii ni wale wezi, wahujumu na walanguzi ambao JPM aliwatupilia mbali.

Lakini sasa hao ndo wanaoongoza. Ni shida sana.

Lakini Mungu mkubwa, 2025 siyo mbali sana. Kwa hakika kila mtu atavuna alichikipanda.

Hatuwezi kuwa na viongozi wabovu kiasi hiki.
 
Ukweli ni kwamba, tangu atutoke JPM, umeme umekuwa ni shida sana hapa Nchini. Umeme unakatika karibu kila siku na kila muda.
Kwa kuwa hali kama hii haikuwahi kutokea wakati wa JPM, tatizo lililopo sasa ni kwamba; wanaoongoza Wizara hii ni wale wezi, wahujumu na walanguzi ambao JPM aliwatupilia mbali. Lakini sasa hao ndo wanaoongoza. Ni shida sana.
Lakini Mungu mkubwa, 2025 siyo mbali sana. Kwa hakika kila mtu atavuna alichikipanda.
Hatuwezi kuwa na viongozi wabovu kiasi hiki.
Hao wanaosemekana ni wezi,wahujumu na walanguzi wanatokea chama cha majizi:Unashangaa nini?
Hebu fafanua hiyo 2025 unataka iweje?Mnajipanga kuja kutuimbia wimbo mwingine wa mitano tena au ni ile ile?
Tumesema mara nyingi mno kwamba ndani ya CCM hakuna viongozi wa kuwaletea wananchi maendeleo,wote ni wachumia tumbo na wanalindana.
Tunataka Katiba mpya haraka ili tuliponye Taifa letu.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000

046E14B1-5E29-453B-BA87-575175228C06.jpeg
 
Ukweli ni kwamba, tangu atutoke JPM, umeme umekuwa ni shida sana hapa Nchini. Umeme unakatika karibu kila siku na kila muda.
Kwa kuwa hali kama hii haikuwahi kutokea wakati wa JPM, tatizo lililopo sasa ni kwamba; wanaoongoza Wizara hii ni wale wezi, wahujumu na walanguzi ambao JPM aliwatupilia mbali. Lakini sasa hao ndo wanaoongoza. Ni shida sana.
Lakini Mungu mkubwa, 2025 siyo mbali sana. Kwa hakika kila mtu atavuna alichikipanda.
Hatuwezi kuwa na viongozi wabovu kiasi hiki.
Mlifurahia kifo cha JPM.

Pumbervu
 
January ni very useless....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom