Kuna kipindi walikata elfu sita kwa pamoja na malalamiko haya niliyasikia pia kwa watu wengine.Je tatizo ni nini hapo?Tafadhali tujulishe, umekatwa kodi ya majengo kwa muda wa miezi minne
Wacha tukomeshwe. Ila kamwe hawataweza kuondoa Legency ya Magufuli.Hahahha.. mtaelewa tuu.. hahah.. mnakomeshwa maana mliishi vzur sana kipind cha nyuma kwa mzee magu..
[emoji848][emoji848][emoji848]Habari Tanesco! Tatizo langu ni Rushwa kukithiri ktk shirika letu hili... Wakazi wengi nikiwemo Mimi tumelipia umeme tokea October/November mwaka Jana lakini mpaka Leo hatujafungiwa hii ni kwa wilaya ya Ilemela_Mwanza! Walitutumia ujumbe kua wale wote waliolipia kabla ya 05/01/2022 watawekewa umeme kabla ya 31/03/2022 tukasema sawa... Ajabu kunaa nyumba ambazo tunaona wamefanya wiring ata wiki haijaisha wanawashiwa umeme...Ukienda Tanesco kuulizia wanakupa majibu ya kua ndo kwaanza tumewafikia wateja wa 20/09/2021 sasa unajiuliza ivi hawana uongo mwingine kila siku ni tupo mwezi wa 9 tu.. Anyway kinachonisikitisha ni vijana wao wanaoitwa ma surveyors wanapiga simu kwetu kua BOSs una laki 2 kesho nikuletee mita? Namba tunazo na ata recordings za hizo simu tunazo... Rushwa, Rushwa imetamalaki Tanesco Ilemela Mwanza!
NB... Tanesco naomba ujumbe huu muufikishe Kwa Meneja wa Tanesco Ilemela Mwanza haraka iwezekanavyo lasivyo tusilaumiane!
The same like here wazo madale yote.TANESCO kama kuna mgao basi tupeni taarifa kuliko kukata kata umeme bila watu kujiandaa.
Siku ya tatu now huku Bunju B mnakata umeme asubuhi unarudi almost saa kumi na mbili na nusu.
Waziri akiulizwa oh, nipe week mbili za matengenezo, sijui kufikia March kutakuwa hakuna mgao lakini hakuna kinachotokea.
Basi mshaamua kuwa mnakata toeni taarifa tusinunue vitu vya kuharibika.
Yani hapa kwakweli ni miaka mitano kama ulivyosemaThe like here wazo madale yote.
Mkuu Waziri alipata mitamboo imechakaa anarekebisha. Tumpe miaka 5 ya matengenezo
37217061532Tafadhali onesha namba ya mita kwa maelekezo sahihi
Asante nimefanikiwa big upMita hii ipo sawa na inanunua umeme kama kawaida leo umenunua umeme pia
Mkuu unachopitia ndo napitia na mimi nipo Ilemela kata ya kahama huku ni ukiritimba tu unafanyika jirani zangu wamefunga wiring baada yangu ila cha ajabu wana umeme,mi nimelipia tangu October 2021 hadi Leo nazungushwa tu naona jamaa wanataka rushwa, ofisi ya TANESCO Nyakato Mwanza ina wapiga dili wengi sanaHabari Tanesco! Tatizo langu ni Rushwa kukithiri ktk shirika letu hili... Wakazi wengi nikiwemo Mimi tumelipia umeme tokea October/November mwaka Jana lakini mpaka Leo hatujafungiwa hii ni kwa wilaya ya Ilemela_Mwanza! Walitutumia ujumbe kua wale wote waliolipia kabla ya 05/01/2022 watawekewa umeme kabla ya 31/03/2022 tukasema sawa... Ajabu kunaa nyumba ambazo tunaona wamefanya wiring ata wiki haijaisha wanawashiwa umeme...Ukienda Tanesco kuulizia wanakupa majibu ya kua ndo kwaanza tumewafikia wateja wa 20/09/2021 sasa unajiuliza ivi hawana uongo mwingine kila siku ni tupo mwezi wa 9 tu.. Anyway kinachonisikitisha ni vijana wao wanaoitwa ma surveyors wanapiga simu kwetu kua BOSs una laki 2 kesho nikuletee mita? Namba tunazo na ata recordings za hizo simu tunazo... Rushwa, Rushwa imetamalaki Tanesco Ilemela Mwanza!
NB... Tanesco naomba ujumbe huu muufikishe Kwa Meneja wa Tanesco Ilemela Mwanza haraka iwezekanavyo lasivyo tusilaumiane!
Tafadhali oneshaMkuu unachopitia ndo napitia na mimi nipo Ilemela kata ya kahama huku ni ukiritimba tu unafanyika jirani zangu wamefunga wiring baada yangu ila cha ajabu wana umeme,mi nimelipia tangu October 2021 hadi Leo nazungushwa tu naona jamaa wanataka rushwa, ofisi ya TANESCO Nyakato Mwanza ina wapiga dili wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
@TANESCO tushasema ofisi yenu ya NYAKATO MWANZA MANISPAA YA ILEMELA IACHE RUSHWA KWA WAFANYAKAZI WENU NA MTUFUNGIE UMEME acheni majibu ya kifala mnakera sana kama mlijua hamna uwezo wa kutufungia umeme kwa wakati kwa nini mlichukua 27,000/ zenu tangu mwaka 2021 huu mwezi wa 4 unaisha sasa hakuna huduma ya kutufungia umeme [emoji34][emoji34]Tafadhali onesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Umelipia lini
Kwa hatua zaidi