Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudisheni umeme dumilaTunapokaribia maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, TANESCO inaendelea kutambua na kuthamini mchango endelevu wa mwanamke ndani ya Shirika katika kuhakikisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wake.
#TupoKaziniView attachment 2135038
Halafu wanajinadi wanafanya kazi Sasa hizo kazi wanafanya kwa maeneo ya huko Dar tu Ila huku mikoani wanatuona Kama sio raia wa nchi hii
Halafu ukiwaona wanavyojisfu utasema Hili ni shirika Bora Sana kuliko mashirika yote kumbe ndio shirika booovu na takataka kuliko mashirika yooote
Ndugu mpendwa Mteja wetuTujipe poleeee
Administrators tunaomba huyu mtu TANESCO afungiweNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Ndugu mpendwa Mteja wetuGari bovu zamani tulikuwa tunaliita mkweche nazani hili jina tanesco linawafaa maana huduma zenu za hovyo mtu kalipia umeme eti ilimuje kumuwekea eti 30 za kazi yaani hela mmepokea alafu asubili siku 30 za kazi hivi kweli hii kwabinadamu mwenye utimamu itamuingia akilini?hebu jaribuni kujirekebisha jamani na hapo ni dar je sie webgine wa nanyumbu huku si itakuwa mwaka?
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi, Malipo yenu yamepokewa mwezi februari 2022 bado tunawafungia waliolipia nyuma yetu, Tunaomba uvumilovu wenu tafadhaliNdugu zetu tanesco tumemlipia bibi yetu umeme ni mwezsasana mpka leo hawajamwekea akienda wanampa kalenda tunaomba msaada na bibi zetu wanakaa vijjin ni mbali na tanesco taarifa zake zipo hapo msaidien ,nikipata msaada natrus kushukuru pia nkikosa ntatafuta mbinu zaidView attachment 2137399View attachment 2137401
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mbna nmemlipia mtu mwingne hata week haijafika amepata hii inakuwaje au niweke na ushahidTumepokea taarifa kwa hatua zaidi, Malipo yenu yamepokewa mwezi februari 2022 bado tunawafungia waliolipia nyuma yetu, Tunaomba uvumilovu wenu tafadhali