TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tunapokaribia maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, TANESCO inaendelea kutambua na kuthamini mchango endelevu wa mwanamke ndani ya Shirika katika kuhakikisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wake.

#TupoKazini
IMG-20220301-WA0006.jpg
 
Tujipe poleeee
Halafu wanajinadi wanafanya kazi Sasa hizo kazi wanafanya kwa maeneo ya huko Dar tu Ila huku mikoani wanatuona Kama sio raia wa nchi hii
Halafu ukiwaona wanavyojisfu utasema Hili ni shirika Bora Sana kuliko mashirika yote kumbe ndio shirika booovu na takataka kuliko mashirika yooote
 
Tujipe poleeee
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Administrators tunaomba huyu mtu TANESCO afungiwe
 
TANESCO na Leo nako asubuhi tu mshakata umeme Dumila yote haina umeme
Hivi mna shida gani na nimatengenezo gani hayo Toka mwezi wa 11 yasiyoisha?

TANESCO rudisheni umeme Dumila
 
Naomba kuuliza mfumo wa kununua token na kuingia moja kwa moja unaanza lini
 
Gari bovu zamani tulikuwa tunaliita mkweche nazani hili jina tanesco linawafaa maana huduma zenu za hovyo mtu kalipia umeme eti ilimuje kumuwekea eti 30 za kazi yaani hela mmepokea alafu asubili siku 30 za kazi hivi kweli hii kwabinadamu mwenye utimamu itamuingia akilini?

Hebu jaribuni kujirekebisha jamani na hapo ni dar je sie webgine wa nanyumbu huku si itakuwa mwaka?
 
Ndugu zetu tanesco tumemlipia bibi yetu umeme ni mwezsasana mpka leo hawajamwekea akienda wanampa kalenda tunaomba msaada na bibi zetu wanakaa vijjin ni mbali na tanesco taarifa zake zipo hapo msaidien ,nikipata msaada natrus kushukuru pia nkikosa ntatafuta mbinu zaid
IMG_20220213_131732_097.jpg
IMG_20220213_131738_360.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Gari bovu zamani tulikuwa tunaliita mkweche nazani hili jina tanesco linawafaa maana huduma zenu za hovyo mtu kalipia umeme eti ilimuje kumuwekea eti 30 za kazi yaani hela mmepokea alafu asubili siku 30 za kazi hivi kweli hii kwabinadamu mwenye utimamu itamuingia akilini?hebu jaribuni kujirekebisha jamani na hapo ni dar je sie webgine wa nanyumbu huku si itakuwa mwaka?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Ndugu zetu tanesco tumemlipia bibi yetu umeme ni mwezsasana mpka leo hawajamwekea akienda wanampa kalenda tunaomba msaada na bibi zetu wanakaa vijjin ni mbali na tanesco taarifa zake zipo hapo msaidien ,nikipata msaada natrus kushukuru pia nkikosa ntatafuta mbinu zaidView attachment 2137399View attachment 2137401

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi, Malipo yenu yamepokewa mwezi februari 2022 bado tunawafungia waliolipia nyuma yetu, Tunaomba uvumilovu wenu tafadhali
 
Sikh imefunguka kwa umeme kukatika kikawaida lazima ukatike Mara 5 kila Siku.

Cha kushangaza kuna majitu yanamlaumu mzalendo January makamba, hivi hawajui mitambo ilikuwa imechakaa kipindi cha mwendazake.

Makamba ni genius sana jamaa kichwa mnooo
 
Back
Top Bottom