TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
- #12,241
Ndugu mpendwa Mteja wetuTunaomba msaada, Leo ni Siku ya nne hatuna umeme
Kijiji: michungwani
Kata: Mabalanga
Wilaya: Kilindi, mkoa wa TANGA.
chanzo: hitilafu ya transformer iliyosababishwa na mtu anayesadikika ni mlevi. hata kama upelelezi haujakamikika, Tunaomba mtuwashie umeme kwanza, tunateseka sana. Tafadhali
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000