Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
@TANESCO tushasema ofisi yenu ya NYAKATO MWANZA MANISPAA YA ILEMELA IACHE RUSHWA KWA WAFANYAKAZI WENU NA MTUFUNGIE UMEME acheni majibu ya kifala mnakera sana kama mlijua hamna uwezo wa kutufungia umeme kwa wakati kwa nini mlichukua 27,000/ zenu tangu mwaka 2021 huu mwezi wa 4 unaisha sasa hakuna huduma ya kutufungia umeme [emoji34][emoji34]Tafadhali onesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Umelipia lini
Kwa hatua zaidi
Msaada kupata control no kulipia maunganisho ya umeme toka october 2021
Jina: Khalima Ramadhani Mwachirua
Eneo:Nyasa shuleni
Wilaya:Masasi
No ya simu 0682985792/0625842303
Tatizo:kupata control no ya kulipia maunganisho ya umeme,
Tokalini:last update from office past two weeks,kunahitajika surveyer kufika kuchukua coordinates site form ya tangu mwezi wa 10 jamani,site yenyewe ipo juu ya kwa maeneo ya kwa mkapa tu Hapa Hapa mjini
Wandugu Vipi hii mambo😯👆naona hakuna taarifa zozote mpaka leoTunashukuru kwa taarifa imepokelewa kwa hatua zaidi
Je umetoa taarifa? Kama ndio tafadhali onesha namna ya taarifa au tupigie kwa namba 0748550000TANESCO
Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302.
Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.
Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari.
Namba ya taarifa ni 1694.Je umetoa taarifa? Kama ndio tafadhali onesha namna ya taarifa au tupigie kwa namba 0748550000
Namba ya taarifa 1694.Je umetoa taarifa? Kama ndio tafadhali onesha namna ya taarifa au tupigie kwa namba 0748550000
Jina: GeorgeNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhaliNamba ya taarifa 1694.
Jina: George
Eneo: Zogowale
Wilaya: Kibaha
Namba ya simu: 0734084606
Tatizo: Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.
Toka lini: Toka jana (Tarehe 9, Machi)
Namba ya taarifa: 1694
Inasikitisha sana kuona jinsi shirika hili linavyoendeshwa. Miaka 60 ya uhuru lakini bado umeme ni wa shida hapa nchini.
Mbaya zaidi hakuna anayewajibika au kuwajibishwa. Waziri mhusika ndiyo kwanza anatumia chopper kukagua vyanzo vya maji na kusema Tanzania nzima hakuna Crane ya kuweza kubeba tani 80 na kutangaza mgao wa siku zaidi ya 10 akiahidi kumaliza kero za umeme jambo ambalo tumeshuhudia kuwa ni uongo, Lakini cha kushangaza bado yupo ofisini.
Umeme umekuwa ukikatika hovyo kwa kisingizio cha dharura.Hivi TANESCO wanaelewa maana ya neno 'dharura'?
Walau miaka michache iliyopita hapakuwa na makatizo Makali ya umeme kiasi hiki. Ina maana vyanzo vya umeme hapo nyuma vilikuwa tofauti na sasa?
Tuliaminishwa mgao mkubwa uliopita siku za karibuni utakuwa mwisho Lakini inasikitisha kuona kila mara umeme bado unakatika kwa sababu zisizoisha.
Sijui lini Tutafika.
Mnamuonea wivu kwa kupewa uwaziri na mnamchukia aliyemteua. Alisikika kiongozi flani baada ya kuulizwa kwanini umeme unakatikakatika 🤣🤣Ni vita ya Russia na Ukraine bwashee!
Tanzania Ipo Katika kipindi kigumu sana sio mchezo kila kitu kipo Hovyo hovyo