TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tafadhali onesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Umelipia lini

Kwa hatua zaidi
@TANESCO tushasema ofisi yenu ya NYAKATO MWANZA MANISPAA YA ILEMELA IACHE RUSHWA KWA WAFANYAKAZI WENU NA MTUFUNGIE UMEME acheni majibu ya kifala mnakera sana kama mlijua hamna uwezo wa kutufungia umeme kwa wakati kwa nini mlichukua 27,000/ zenu tangu mwaka 2021 huu mwezi wa 4 unaisha sasa hakuna huduma ya kutufungia umeme [emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada kupata control no kulipia maunganisho ya umeme toka october 2021

Jina: Khalima Ramadhani Mwachirua
Eneo:Nyasa shuleni
Wilaya:Masasi
No ya simu 0682985792/0625842303
Tatizo:kupata control no ya kulipia maunganisho ya umeme,
Tokalini:last update from office past two weeks,kunahitajika surveyer kufika kuchukua coordinates site form ya tangu mwezi wa 10 jamani,site yenyewe ipo juu ya kwa maeneo ya kwa mkapa tu Hapa Hapa mjini

Tunashukuru kwa taarifa imepokelewa kwa hatua zaidi
Wandugu Vipi hii mambo😯👆naona hakuna taarifa zozote mpaka leo
 
Katika kijiji ha Uduru Hai Kilimanjaro imeibuka kitu kinaitwa mgao wa umeme kati ya vijiji viwili Uduru na Nshara kila kijiji kinapata umeme kwa siku tatu kwa wiki tu.

Ukiuliza Tanesco wanadai Transfomer ni ndogo haiwezi kuhudumia tena vijiji viwili kama zamani. Tunaona hii si kweli ni njia tu ya kuatract rushwa kwani jana tu jirani wangu alizungunza na hao skaunganishia kiaina na kutoka kabisa kwenye ngao!

Tunaomba wanaohusika wachunguze hii hujuma kwenye Tanesco kwani hii ni uhujumu kunyima mapato serikali.
 
November 2021 TANESCO Chanika walikuja kujenga nguzo moja ya umeme

Mtaa wa Taliani kata ya Buyuni.

Jina la Mteja ;Hassan Hamisi Dibega na wenzake watano

Simu;0621532255

Eneo;Mtaa wa Taliani, Karibu na Mtuki Primary school

Tatizo; Kujenga wire wa 50mm kutoka ulipoishia umeme kuja kwenye nguzo

-Mimi ni mteja wenu,niliomba huduma ya service line na mafundi wa TANESCO walileta site nguzo Mwezi wa 10 na kurudi kuja kujenga nguzo November 2021,
-lakini hawakuwa na wire 50mm .
-Baada ya kuchimbia nguzo, mafundi waliahidi kuja kuunga wire siku za usoni, -baada ya kufuatilia TANESCO Chanika waliahidi kupata nyaya hizo January 2022,na nitapigiwa simu.
- Mwezi February 2022 nilikwenda TANESCO Chanika, kufuatilia, bila mafanikio.
-Ninaomba kufahamishwa ni lini TANESCO,itapata nyaya za 50mm hususani kituo Cha Chanika.
TANESCO Chanika ina wateja wengi Sana,ni vema changamoto ya nguzo na nyaya itatuliwe, Shirika litaongeza mapato.
-Nimesikia Mkurugenzi Mkuu,wa TANESCO anakuja na mita za kisasa,kuanzia July 2022.
-Hivi TANESCO ina vipa umbele kwa wateja wenu au Mkurugenzi Mkuu anatafuta kick.
-Kama ameshindwa kununua nyaya na nguzo,ili wateja wapate umeme hizo mita mpya zina faida gani?
-Kipa umbele au malengo ya TANESCO,yangekuwa kuongeza wateja,
-Tanesco ingeweka malengo ya kuwafikia wateja wapya mathalani milioni mbili au tatu kwa mwaka au kuwafikia wateja milioni 10 ndani ya miaka mitano.
-hizo mita mpya ni kwa ajili ya wateja wapya na chache kwa wateja wa zamani wenye mita mbovu.
 
Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302.

Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.

Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari.

TANESCO
 
Je umetoa taarifa? Kama ndio tafadhali onesha namna ya taarifa au tupigie kwa namba 0748550000
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Je umetoa taarifa? Kama ndio tafadhali onesha namna ya taarifa au tupigie kwa namba 0748550000
Namba ya taarifa 1694.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Jina: George

Eneo: Zogowale

Wilaya: Kibaha

Namba ya simu: 0734084606

Tatizo: Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.

Toka lini: Toka jana (Tarehe 9, Machi)

Namba ya taarifa: 1694
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
 
Inasikitisha sana kuona jinsi shirika hili linavyoendeshwa. Miaka 60 ya uhuru lakini bado umeme ni wa shida hapa nchini.

Mbaya zaidi hakuna anayewajibika au kuwajibishwa. Waziri mhusika ndiyo kwanza anatumia chopper kukagua vyanzo vya maji na kusema Tanzania nzima hakuna Crane ya kuweza kubeba tani 80 na kutangaza mgao wa siku zaidi ya 10 akiahidi kumaliza kero za umeme jambo ambalo tumeshuhudia kuwa ni uongo, Lakini cha kushangaza bado yupo ofisini.

Umeme umekuwa ukikatika hovyo kwa kisingizio cha dharura.Hivi TANESCO wanaelewa maana ya neno 'dharura'?

Walau miaka michache iliyopita hapakuwa na makatizo Makali ya umeme kiasi hiki. Ina maana vyanzo vya umeme hapo nyuma vilikuwa tofauti na sasa?

Tuliaminishwa mgao mkubwa uliopita siku za karibuni utakuwa mwisho Lakini inasikitisha kuona kila mara umeme bado unakatika kwa sababu zisizoisha.

Sijui lini Tutafika.
 
237BA2DE-7AE7-4D25-A5A2-833EDC45954F.jpeg
 
Back
Top Bottom