peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
TUPE JINA LAKO, MAHALI UNAPOISHI, SHIDA YAKO NA NAMBA YAKO YA SIMU ILI TUKUHUDUMIE....TANESCO TUNAANGAZA MAISHA YAKO 😀😂
Wanakuja Sasa hivi hapa TANESCO na watacopy hii comment yako kama ilivyo 🤣🤣TUPE JINA LAKO, MAHALI UNAPOISHI, SHIDA YAKO NA NAMBA YAKO YA SIMU ILI TUKUHUDUMIE....TANESCO TUNAANGAZA MAISHA YAKO 😀😂
Wanakuja Sasa hivi hapa TANESCO na watacopy hii comment yako kama ilivyo
🤣🤣🤣 Yuko wapi huyuTUPE JINA LAKO, MAHALI UNAPOISHI, SHIDA YAKO NA NAMBA YAKO YA SIMU ILI TUKUHUDUMIE....TANESCO TUNAANGAZA MAISHA YAKO 😀😂
Kuna special thread ya TANESCO hapo juu ambapo huwa wanajibu pamoja maelezo yao yanakuwaga na mawenge Ila unaweza kupeleka hii taarifa lakini hata ningekuwa mimi ndio TANESCO ningekuuliza huko nguzo zilipoanguka ni wapi? Mtaa, wilaya nk.Nguzo hizi zimeziba barabara na ni three phase ziko hapo sasa kwa muda wa miezi miwili .
Hakuna wa kuzishughulikia, Tanesco wako wanaziangalia wakipigowa simu hawaji wanasema hakuna magari ya kwenda site.
View attachment 2162080
View attachment 2162081
View attachment 2162082
Nadhani tatizo lipo kwa Makamba mwenyewe,tangu ameingia ofisini umeme limekua ni janga la Taifa,sidhani kama kuna kitu atafanya.Katakata umeme Dsm sasa inaudhi. Waziri Makamba wajibisha Wakurungenzi wa Bodi uliowateua, wanakuangusha.
Update
Mmerudisha umeme tunasubiri mkate tena
Sio sikonge tu ni maeneo mengi ya nchi hii kwa sasa kila sehemu ni kilioMnatukosea sana Wilaya ya Sikonge kila siku umeme unakatika tatizo nini? Kama mmeshindwa kuhudumia watu semeni inakuwa kama tunaomba msaada
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhaliYaan nyie tanesco nimesha choka kila wakati na report issue ya low voltage
, Pia tuna single phase ndo inatembea mtaa mzima matokeo yake umeme unashindwa kuwasha hata music system (voltage below 150v) lakini wapi hakuna utatuzi wala hata kutembelea ku verify changamoto iliyo riportiwa.. eneo letu ni kigamboni-hospital ya kisiwan, huku bondeni kwenye makaburi ya msafwa... Namba ni 0689783777.. .. we tired with this jaman.. kama issue ni transformer baasi tuweke nyaya za three-phase wengine tuweke umeme huu wa three phase tujue moja.. unarudi nyumban unawasha feni speed ndogo, microwave, air-condition na fridge havifanyi kazi ikishafika mida ya jion. Yaan tabu tu
Tafadhali onesha umelipia kwa jina gani, namba ya simu , wilaya kwa hatua zaidiTANESCO nyie ni washenzi kabisa nimelipia umeme tokea mwaka 2021 mwezi wa 10 lakini hadi Leo sijaunganishiwa ,nguzo naziona zinasambazwa tu mitaani,mie kunipa nguzo moja ndogo ndogo mkaniunganishia umeme hamtaki huu unaisha mwezi wa 5 sijaunganishiwa umeme ,shirika la kipumbavu kabisa hili.