peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nguzo hizi zimeziba barabara na ni three phase ziko hapo sasa kwa muda wa miezi miwili .
Hakuna wa kuzishughulikia, Tanesco wako wanaziangalia wakipigowa simu hawaji wanasema hakuna magari ya kwenda site.
Hakuna wa kuzishughulikia, Tanesco wako wanaziangalia wakipigowa simu hawaji wanasema hakuna magari ya kwenda site.