Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatuna umeme toka kumekucha huku Bunju B... Nimeanzisha thread na kuwatag TANESCO lakini siku hizi hawana majibuKumekuwa na tatizo la kukatika umeme ovyo hadi kero kwetu wananchi kwa hapa Dar es Salaam.Tunaomba serikali itupe majibu tunakwama wapi,mbona awamu iliyopita haikuwa hivi!
Kukatika umeme ni kero tupu,npo madale hakuna umeme tangia saa kumi alfajiri mpk sasa hivi giza!Wanaotegemea riziki zao kupitia umeme kama vinyozi n.k njaa tupu!!Sisi hatuna umeme toka kumekucha huku Bunju B... Nimeanzisha thread na kuwatag TANESCO lakini siku hizi hawana majibu
Yani nilikuwa na kazi moja muhimu naona ndo siku inaishi hivi. Hapa naomba tu warudishe nikomaw nayo mpaka saa sita uskuKukatika umeme ni kero tupu,npo madale hakuna umeme tangia saa kumi alfajiri mpk sasa hivi giza!Wanaotegemea riziki zao kupitia umeme kama vinyozi n.k njaa tupu!!
Muulize Makamba na kikosi chake cha miavuli.Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme ovyo hadi kero kwetu wananchi kwa hapa Dar es Salaam.Tunaomba serikali itupe majibu tunakwama wapi,mbona awamu iliyopita haikuwa hivi!
Bunju huku nimeamka asubuhi no umeme na mpaka sasa hakuna. TANESCO hata kutoa taarifa nini shida wala hawana habari.Wakazi wa madale hatua umeme toka alfajili, tunategemea kulala gizani huku bado CAG anasema Tanesco haina tatizo lolote