TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme ovyo hadi kero kwetu wananchi kwa hapa Dar es Salaam.

Tunaomba serikali itupe majibu tunakwama wapi, mbona awamu iliyopita haikuwa hivi!
 
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme ovyo hadi kero kwetu wananchi kwa hapa Dar es Salaam.Tunaomba serikali itupe majibu tunakwama wapi,mbona awamu iliyopita haikuwa hivi!
Sisi hatuna umeme toka kumekucha huku Bunju B... Nimeanzisha thread na kuwatag TANESCO lakini siku hizi hawana majibu
 
🐒🐒🐒
0_20220223_195313.jpg
 
Sisi hatuna umeme toka kumekucha huku Bunju B... Nimeanzisha thread na kuwatag TANESCO lakini siku hizi hawana majibu
Kukatika umeme ni kero tupu,npo madale hakuna umeme tangia saa kumi alfajiri mpk sasa hivi giza!Wanaotegemea riziki zao kupitia umeme kama vinyozi n.k njaa tupu!!
 
Kukatika umeme ni kero tupu,npo madale hakuna umeme tangia saa kumi alfajiri mpk sasa hivi giza!Wanaotegemea riziki zao kupitia umeme kama vinyozi n.k njaa tupu!!
Yani nilikuwa na kazi moja muhimu naona ndo siku inaishi hivi. Hapa naomba tu warudishe nikomaw nayo mpaka saa sita usku
 
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme ovyo hadi kero kwetu wananchi kwa hapa Dar es Salaam.Tunaomba serikali itupe majibu tunakwama wapi,mbona awamu iliyopita haikuwa hivi!
Muulize Makamba na kikosi chake cha miavuli.
 
Wakazi wa madale hatua umeme toka alfajili, tunategemea kulala gizani huku bado CAG anasema Tanesco haina tatizo lolote
Bunju huku nimeamka asubuhi no umeme na mpaka sasa hakuna. TANESCO hata kutoa taarifa nini shida wala hawana habari.
Hii nchi maendeleo tutakuwa tukiyashuhudia tu kwenye TV
 
Back
Top Bottom