TANESCO Kimara mwisho umeme unakatika sana wiki hii.Kuna tatizo gani?kila siku lazima ukatwe.hamna siku imepita bila umeme kukatika.Hapa penyewe umeme hakuna.
 
Tafadhali tujulishe ulifika ofisini muda gani? Kwa sasa wateja wanashauriwa kutumia namba 0748550000 kutoa taarifa na kupatiwa huduma.

Ahsante
 
Nililipa mwezi wa march 2022 namba ya malipo 991033381872
TANESCO MNAKERA mmesha kuwa KERO mnapo shindwa kutoa huduma kwa wakati ni vyema mkamjulisha mteja! Ili kuhondoa nsitofahamu kuwa siku 90 zimeisha na hudumu haitatolewa ;
Tafadhali onesha namba ya ombi au namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Huduma imekaa vizuri sana
Huku mji mpya karibu na maeneo ya FFU Morombo Arusha kuna tatizo gani? Kwann mnakata umeme kila siku asubuhi mnarudisha usiku?

Sasa usiku sisi wajasiriamali tunafanya kazi gani? 😳 Kama kuna mgao si mtujuze? 🫥
 
Tafadhali onesha namba ya ombi au namba ya simu kwa hatua zaidi
Niliomba kuunganishiwa umeme, nililipia tangu mwezi machi, nasubiria tu

Ref 563722 - 00164
MBURA MATAGE JOHN
Mob: +255687627431

TANESCO mnambwebwe, eti this quotation will be valid only for 3 months from the date received!
Utekelezaji F
 
Niliomba kuunganishiwa umeme, nililipia tangu mwezi machi, nasubiria tu

Ref 563722 - 00164
MBURA MATAGE JOHN
Mob: +255687627431

TANESCO mnambwebwe, eti this quotation will be valid only for 3 months from the date received!
Utekelezaji F
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Nimetuma maombi mapya tangu juni 6 lakini mpaka leo kimya sijajuwa tatizo liko wapi

Namba ya ombi 060622-1164

Namba ya simu 0782121999
 
Nimeomba kuunganishiwa umeme na taarifa zangu za malipo ni hizi:

"Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991033426974
Kiasi: 320960 TZS
Risiti: 922113103894048
2022-04-23T13:18:52
Kupitia: FH594271650709132

Namba ya simu: 0754800789".

Lakini hadi sasa ni kimya. Nilifika ofisini baada ya mwezi mmoja, may 2022 nikaambiwa kipindi kile wanafanyia kazi maombi ya Nov. 2021, nikaenda June 2022 nikaambiwa vifaa kwa maombi ya kuanzia March - June, 2022 bado havijafika na sikupewa matarajio/ratiba ya lini maombi yangu yatafanyiwa kazi.

Naomba kupitia jukwaa hili ufumbuzi upatikane.
 
Kwa taarifa kuna maombi zaidi ya 75,000 hayajashughulikiwa.

Alafu waziri wa wizara husika anazunguka anagawa mitungi ya gesi!
Binafsi niliwapa ushauri wa bure, wasitishe kupokea maombi mapya Ili wawe na muda wa kutatua mlundikano wa maombi
 
Kwa taarifa kuna maombi zaidi ya 75,000 hayajashughulikiwa.
Alafu waziri wa wizara husika anazunguka anagawa mitungi ya gesi!
Binafsi niliwapa ushauri wa bure, wasitishe kupokea maombi mapya Ili wawe na muda wa kutatua mlundikano wa maombi
Tunakusii uache kupotosha uma kwa kuwa hauna taarifa kamili na sahihi
 
wewe TANESCO jana tu ulitulia,leo mmekata tena umeme saa tisa usiku na saa hizi saa tisa mchana mmekata tena.

Mna shida gani nini nyinyi?!mimi niko Kimara huku bado umeme unasumbua ila inaonekana sio sisi tu maana nimemsoma Habib Hanga kule twitter nae analalamika kuna mgao wa kimya kimya sehemu nyingi.

Hivi kuna nini? si mseme ukweli?!
 
Ndugu Mteja

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…