kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waje watujuze tatizo ni niniTANESCO Kimara mwisho umeme unakatika sana wiki hii.Kuna tatizo gani?kila siku lazima ukatwe.hamna siku imepita bila umeme kukatika.Hapa penyewe umeme hakuna.
Tafadhali tujulishe ulifika ofisini muda gani? Kwa sasa wateja wanashauriwa kutumia namba 0748550000 kutoa taarifa na kupatiwa huduma.TANESCO Bagamoyo kitengo Cha emergency ukienda kuripot taarifa ya dharula unaambiwa piga simu. Imagine mtu umeenda physically ofisini alfu unapewa namba upige simu. Kwamba ni utaratibu mpya awataki wateja waende ofisini . Well linaweza kuwa jambo zuri lakini tunaomba ufafanuzi na uelimishwaji Zaidi juu ya jambo hili.Mfano mimi nahishi karibu na ofisi ya Tanesco alfu Sina Salio la kupiga simu sistahili kupata huduma!?
Kwa lazima tupige simu kwenye namba Moja ya call center, Isijekuwa ni dili la mtu ndo kaingia ubia na kampuni ya simu ili apate Cha juu.!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tafadhali onesha namba ya ombi au namba ya simu kwa hatua zaidiNililipa mwezi wa march 2022 namba ya malipo 991033381872
TANESCO MNAKERA mmesha kuwa KERO mnapo shindwa kutoa huduma kwa wakati ni vyema mkamjulisha mteja! Ili kuhondoa nsitofahamu kuwa siku 90 zimeisha na hudumu haitatolewa ;
Huku mji mpya karibu na maeneo ya FFU Morombo Arusha kuna tatizo gani? Kwann mnakata umeme kila siku asubuhi mnarudisha usiku?Huduma imekaa vizuri sana
Kimara mwisho line ya Dawasco na Matangini.Leo umetulia.Tafadhali tujulishe eneo gani haswa na namba ya simu kwa hatua zaidi
yes,leo kumetulia.Thanks.Huduma imekaa vizuri sana
Niliomba kuunganishiwa umeme, nililipia tangu mwezi machi, nasubiria tuTafadhali onesha namba ya ombi au namba ya simu kwa hatua zaidi
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiNiliomba kuunganishiwa umeme, nililipia tangu mwezi machi, nasubiria tu
Ref 563722 - 00164
MBURA MATAGE JOHN
Mob: +255687627431
TANESCO mnambwebwe, eti this quotation will be valid only for 3 months from the date received!
Utekelezaji F
Nitashukuru, ikiwa mtajaliTumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Kwa taarifa kuna maombi zaidi ya 75,000 hayajashughulikiwa.Nimeomba kuunganishiwa umeme na taarifa zangu za malipo ni hizi:
"Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991033426974
Kiasi: 320960 TZS
Risiti: 922113103894048
2022-04-23T13:18:52
Kupitia: FH594271650709132
Namba ya simu: 0754800789".
Lakini hadi sasa ni kimya. Nilifika ofisini baada ya mwezi mmoja, may 2022 nikaambiwa kipindi kile wanafanyia kazi maombi ya Nov. 2021, nikaenda June 2022 nikaambiwa vifaa kwa maombi ya kuanzia March - June, 2022 bado havijafika na sikupewa matarajio/ratiba ya lini maombi yangu yatafanyiwa kazi.
Naomba kupitia jukwaa hili ufumbuzi upatikane.
Tunakusii uache kupotosha uma kwa kuwa hauna taarifa kamili na sahihiKwa taarifa kuna maombi zaidi ya 75,000 hayajashughulikiwa.
Alafu waziri wa wizara husika anazunguka anagawa mitungi ya gesi!
Binafsi niliwapa ushauri wa bure, wasitishe kupokea maombi mapya Ili wawe na muda wa kutatua mlundikano wa maombi
Ndugu MtejaNimeomba kuunganishiwa umeme na taarifa zangu za malipo ni hizi:
"Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991033426974
Kiasi: 320960 TZS
Risiti: 922113103894048
2022-04-23T13:18:52
Kupitia: FH594271650709132
Namba ya simu: 0754800789".
Lakini hadi sasa ni kimya. Nilifika ofisini baada ya mwezi mmoja, may 2022 nikaambiwa kipindi kile wanafanyia kazi maombi ya Nov. 2021, nikaenda June 2022 nikaambiwa vifaa kwa maombi ya kuanzia March - June, 2022 bado havijafika na sikupewa matarajio/ratiba ya lini maombi yangu yatafanyiwa kazi.
Naomba kupitia jukwaa hili ufumbuzi upatikane.