Tena kibaya zaidi wanakata baada ya dk3 unarudi wanakata tena yaani Kama wanafanya kamchezo[emoji30]

Jamani Tanesco mtatuunguzia vitu wooi mnakeraa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mteja

Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, Shirika linaomba radhi kwa adha inayoendelea kujitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendela



TANESCO Huduma Kwa Wateja

SIMU: 0748 550000

Makao Makuu^IT
 
Mnakata umeme bila taarifa wakati platform zote za habari mnazo tangazeni instagram ratiba ya mgao, twitterna facebook.
Ndugu mteja

Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, Shirika linaomba radhi kwa adha inayoendelea kujitokeza kutokana na kukosekana kwa umeme. Jitihada zinaendela



TANESCO Huduma Kwa Wateja

SIMU: 0748 550000

Makao Makuu^IT
 
Kama kazi imewashinda semeni bhana, Wilaya ya Sikonge/Tabora umeme umekuwa kero hata kuwaka masaa matatu shida, hii ni huduma na sio suala la kubembelezana
 
Niko wilayani same mkoani kilimanjaro maene ya Gonja Mtii TANESCO leo siku ya 4 umeme unasumbua hatuelewi ni umeme mdogo au nn maana umeme unakatika kila baada ya sekunde 10 na unarudi huku baadhi ya bulb zinawaka na zingine haziwaki na wakati huo taa zinatetemela tu jana mmekata kutwa tukajua mnarekebisha matokeo yake umerudi usiku vilevile hata ukinunua umeme huwezi ingiza maana mita haisomi na umeme upo hata tv hauwashi tunaomba tumechoka.
 

Tanesco nimeomba umeme tangu mwezi wa 7 kwa kupitia app yenu ya Nikkonekt process zote nimepitia kilichobaki ni kiweka nguzo ili nipewe control no ya kulipia sasa ndio wameishia hapo since July hadi leo hawajaja wala sioni chochote kinachoendelea kila nikiwapigia wanasema nguzo hazijafika ukizingatia mkoa wa Kilimanjaro ni mkoa ambao umeme ulishafika sehem nyng ss inakuaje hamleti nguzo naomba kuwasilisha naomba msaada pia
 
Mmmh mie najua lazima ulipie kwanza ndio waje waweke umeme

Sasa wanawekaje nguzo ndio upewe control namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…