Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
Sidhani kama haya majibu tujibiwayo yanatoka kwa wahusika sahihi, bali ni kompyuta.Asante kwa taarifa tumeipokea kwa hatua zaidi
sorry chief inamaana kwasasa hakuna kundi la matumizi madogo tenaUlikuwa kwenye matumizi madogo sasa utaisoma namba
Pengine wamebadili maana ya jina lao pasipo watu kuelewa, kutoka neno "company" na kuwa jipya "complaints" Kwa jinsi inavyonekana sasa si tena shirika/kampuni, bali ni malalamiko endelevu juu ya ugavi wa umeme Tanzania.Angalau watu wanawashukru Tanesco kwa kuwapa chanzo kingine cha kuanikia nguo!
View attachment 2427199
Tarakimu nane na siyo sita kama nilivyoeleza mwanzoNipo Ilala Kata ya Pugu, Mita imenigomea kutambua nimebakishwa na units ngapi, lkn nashindwa kuingiza umeme pia. Nikiwasha KISOMA MITA kunakuja maadishi CONNECT FAIL. Nilifika Tanesco Chanika wamenipa namba tarakimu sita niigize zikifatiwa na namba za Mita (nikiwa karibu sana na mita) nimefanya hivyo mara kadhaa bila mafanikio.
Naelekea kulala gizani sasa!
Napaswa kufanyaje?