Tabata Kisiwani ipo jirani na mwananchi communication , Wilaya ya Ilala, Maeneo ni ngumu kuelezea maana sio eneo lote ila baadhi ya nyumba hazina umeme siku ya piliNdugu Mteja!
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Namba ya simu
Mkoa
Wilaya
Eneo
Tatizo
Tanesco makao makuu 0748550000
Ndugu MtejaHabari za usiku! Hapa kijijini huwaga kuna nguzo moja inayosumbua sana na ni miaka mingi mno kwa nini isibadilishwe ikawekwa mpya? Ukiangalia hata nyaya zake hazijakaa katika utaratibu mzuri,tanesco tunaomba mtubadiliahie,Ipo mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai kijiji cha lyamungo kati
Ndugu Ze WonderJina.samson ngocho
Contact.0765417820
Mkoa.Mara
Wilaya. Tarime
Eneo. Soroneta
Tatozo.
Mmeleta umeme eneo letu la soroneta lakin mmeshindwa kuusambaza Kwa watu, yaan ni line Moja tu na waliopata ni wachache walio pitiwa na hiyo line sidhani kama wanafika hata kumi Kwa Kijiji kizima na inaonekana ni kama mmemaliza.
Tunaomba mlete nguzo za kutosha na msambazie watu ni aibu mkandarasi amemaliza na namba ya watu waliounganishiwa ni kidogo sana na sio kwamba hawapo,wahitaji ni wengi sana
hamjakata umeme kitambo sana aisee mpaka kunaboaNdugu Ze Wonder
Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
0748550000 ^EB
Mpendwa mteja,kuanzia muda ulivyofanyiwa survey tarajia muda wowote kupata namba ya malipo(control number)Naomba kuuliza, inachukua muda gani kupata Control Number ya kuunganisha umeme kwa mteja mpya baada ya taratibu zingine zote kukamilika. Status updates nafuatilia kwenye Nikonekt app "Waiting for Quartation and CN"
Ni wiki ya tatu sasa, hakuna updates.Mpendwa mteja,kuanzia muda ulivyofanyiwa survey tarajia muda wowote kupata namba ya malipo(control number)
Ndugu Mteja!Ni wiki ya tatu sasa, hakuna updates.
Ndugu mteja pole kwa changamoto, hakuna gharama yoyote ya nguzo kijijini tafadhali tupatie namba ya ombi la umeme pamoja na simu kwa ufuatiliaji ^EBKuhusu REA, Mimi nipo mjini ila niliambiwa nitume pesa kwa mchango wa nguzo huko kijijini, "Mahorosha-Mashati, Rombo" ila sikutuma. Kila nikinunua umeme ninachangia REA, huu mchango wa nini?