TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO Tabata kisiwani baadhi ya maeneo tunalala giza siku ya pili sasa hatuelewi shida ipo wapi
Ndugu Mteja!

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora

Jina

Namba ya simu

Mkoa

Wilaya

Eneo

Tatizo

Tanesco makao makuu 0748550000
 
Ndugu Mteja!

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora

Jina

Namba ya simu

Mkoa

Wilaya

Eneo

Tatizo

Tanesco makao makuu 0748550000
Tabata Kisiwani ipo jirani na mwananchi communication , Wilaya ya Ilala, Maeneo ni ngumu kuelezea maana sio eneo lote ila baadhi ya nyumba hazina umeme siku ya pili
 
Naomba kuwapongeza TANESCO Manyara hasa wilayani Babati, wanatoa huduma kwa wakati. Kazi iendelee
 
Mpendwa mteja, asante kwa pongezi endelea kufurahia huduma zetu
 
Habari za usiku! Hapa kijijini huwaga kuna nguzo moja inayosumbua sana na ni miaka mingi mno kwa nini isibadilishwe ikawekwa mpya? Ukiangalia hata nyaya zake hazijakaa katika utaratibu mzuri,tanesco tunaomba mtubadiliahie,Ipo mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai kijiji cha lyamungo kati
 
Ndugu Mteja

Tafadhali onesha namba ya taarifa ya tatizo husika kwa hatua zaidi

Simu yetu 0748550000
 
Jina.samson ngocho
Contact.0765417820
Mkoa.Mara
Wilaya. Tarime
Eneo. Soroneta

Tatozo.
Mmeleta umeme eneo letu la soroneta lakin mmeshindwa kuusambaza Kwa watu, yaan ni line Moja tu na waliopata ni wachache walio pitiwa na hiyo line sidhani kama wanafika hata kumi Kwa Kijiji kizima na inaonekana ni kama mmemaliza.

Tunaomba mlete nguzo za kutosha na msambazie watu ni aibu mkandarasi amemaliza na namba ya watu waliounganishiwa ni kidogo sana na sio kwamba hawapo,wahitaji ni wengi sana
 
Ndugu Ze Wonder

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000 ^EB
 
Ndugu Ze Wonder

Tunashukuru kwa taarifa, Tumezipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

TANESCO Huduma kwa Wateja

Makao Makuu

0748550000 ^EB
hamjakata umeme kitambo sana aisee mpaka kunaboa
niko Kisewe
 
Naomba kuuliza, inachukua muda gani kupata Control Number ya kuunganisha umeme kwa mteja mpya baada ya taratibu zingine zote kukamilika. Status updates nafuatilia kwenye Nikonekt app "Waiting for Quartation and CN"
 
Mpendwa mteja,kuanzia muda ulivyofanyiwa survey tarajia muda wowote kupata namba ya malipo(control number)
 
Kuhusu REA, Mimi nipo mjini ila niliambiwa nitume pesa kwa mchango wa nguzo huko kijijini, "Mahorosha-Mashati, Rombo" ila sikutuma. Kila nikinunua umeme ninachangia REA, huu mchango wa nini?
 
Ni wiki ya tatu sasa, hakuna updates.
Ndugu Mteja!

Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali tunaomba namba yako ya ombi la kuunganishiwa umeme ( Application number) kwa ufatiliaji na hatua zaidi.

Huduma kwa Wateja

Simu 0748550000. ^EB
 
Kuhusu REA, Mimi nipo mjini ila niliambiwa nitume pesa kwa mchango wa nguzo huko kijijini, "Mahorosha-Mashati, Rombo" ila sikutuma. Kila nikinunua umeme ninachangia REA, huu mchango wa nini?
Ndugu mteja pole kwa changamoto, hakuna gharama yoyote ya nguzo kijijini tafadhali tupatie namba ya ombi la umeme pamoja na simu kwa ufuatiliaji ^EB
 
naomba kujua gharama za kuunganisha umeme kwa maeneo ya vijijini kwa umbali usiozidi mita 5-15.
 
Back
Top Bottom