verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
@TANESCOWakuu nahitaji kuweka umeme wa 3 phase kwenye jengo lakini mimi ni mpangaji, mnaweza kunipa muongozo nijaze vipi maombi kwenye app ya nikonekti?
Ndugu mteja kwenye app yetu ya nikonekt haina sehemu ya kuomba single au three phase, bali mteja wetu anaomba umeme kama kawaida. mteja atafungiwa single au three phase kutokana na mchoro wa mkandarasi wake na majibu baada ya vipimo vya survey. Hivyo kama unahitaji meter ya 3 phase na hapo ulipo panga kuna umeme tayari fika ofisi za tanesco na barua ya mwenye nyumba wako kukuruhusu mpangaji wake kuweka meter yako kwenye jengo lake kisha utajaza fomu maalamu (meter separation) kisha utafanyiwa vipimo na kulipia ^EBWakuu nahitaji kuweka umeme wa 3 phase kwenye jengo lakini mimi ni mpangaji, mnaweza kunipa muongozo nijaze vipi maombi kwenye app ya nikonekti?
Ndugu Mteja.Jana Usiku Majira ya saa 7 walikata na kurudisha asubuhi leo tarehe 24.01.2023. Na jioni hii wamekata tena. Tatizo ni nini. Eneo ni Toangoma - Kongowe DSM
Ndugu Mteja!Niliomba kuunganishiwa umeme via Nikonect app.
Contractor akajaza, surveyor akaja. System ikasema awaiting quotation and CN.
Jana nimeangalia status inasema: await re-surveyed. Leo inasema Surveyed. Control number haitoki, mwishowe nitatumia hii pesa.
Nipo Geita mjini.
Takukuru hii hii au kuna ingine?😀😀😀😀Kumekuwepo na mazingira tosha kabisa ya RUSHWA kwa wafanyakazi wa TANESCO na MIRADI INAYOSHIRIKISHA shirika hii nayo mnataka tuwapeleke TAKUKURU ,?
Mwanza mjini Maeneo ya Pasiasi, Lumala, Msumbiji mpaka Kiseke kote umeme hakunaNdugu Mteja
Tafadhali onesha ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000