mchokozi mpende
Member
- Sep 10, 2018
- 36
- 42
Hiyo hata umeme ukiwepo 24/7 bado mafuta yanapigwa nyokaUnaamini huu ujinga... watu wanauza mafuta kwemye Majenereta ya Minara na Makampuni
Toka saa 5asubuhi mpaka sasa hivi saa 4.40 usiku hakuna umeme, jamani mnatukosea sana wananchiMambo ya kipumbavu sana haya asee, Kukatia watu umeme bila taarifa na mnajua ni kitu cha muhimu ni ishara ya madharau na kuonesha ni namna gani mnatumudu au?