Nawapongeza kwa wazo la uwanja huu. Nimelazimika kulipa pesa bila kupenda.....Na mimi naongezea kwa nini Tanesco hamnunui nguzo moja kwa moja toka Sao hill forest plantation, ambao surely bei ingekuwa afadhali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekupatia ushauri mkuu tunashukuru kwa taarifa kamiliNawapongeza kwa wazo la uwanja huu. Nimelazimika kulipa pesa bila kupenda..Niliunganishiwa umeme baadae ukanisababishia taabu na mateso rejea barua zako RM/IL/RP-F/50 ya tar 17 MARCH 2015 pia barua RM/ILL/RPU/08 ya 01 DECEMBER 2015 pia barua DMDD&CS/SMS&M/Wateja. Katika barua ipo barua iliyoniingiza ktk wizi na nyingine imeniondoa . Ninachokitaka unifutie hilo deni ambalo umeainisha kama ni loss of revenue. Matumizi yangu sio zaidi ya units 75 kwa mwezi ambazo silipi zaidi ya shs elf kumi na miezi .iliyotumika umeme bila mita si zaidi ya mwaka sasa hesabu ni kubwa tafadhali ili
muonekane mko fair ondoeni hilo deni lililobaki na pia mniondoe ktk tarriff ya sasa. Namba yangu ya simu ni 0754324980 nipo tabata automech
Natanguliza shukrani zangu za dhati...Almas
Eneo... mkoa .... wilaya.... na namba yako ya simu.....Umeme mnakata hovyo hovyo. Jana umeme umekatika asubuhi saa mbili umerudi SAA sita usiku, muda huu asubuhi hii tayari mmeshakata, hivi mnataka sisi wajasiliamali wadogo tunaotegea umeme tuishije?. Shirika la Tanesco mna maudhi mengi kwa kweli. Umeme wenu sio wa uhakika.
Wewe umelipa kwa jina gani kiasi gani mwezi gani na namba yako ya simj tafadhaliNauliza Tanesco ni kweli kuna uhaba wa nguzo kwa mkoa wa Kilimanjaro has a Wilaya ya Hai maana kuna watu wamelipia toka January wanaambiwa hakuna nguzo pia sisi wa mwezi wa Tano majibu ni hayo hayo. kinachonishangaza hii huduma mlitakiwa mtusambazie umeme kadri watu wanavyolipia maana ni biashara lakini tunavyosumbuka dah inakatisha tamaa kwa kweli!
Uliomba lini namba yako ya simu ya mita tafadhaliNaona maombi yangu hayafanyiwi kazi kuhusu tarifu ninayoiyomba nibadilishwe kama barua nishapeleka kisarawe lkn hakuna majibu mbona mnatunyanyasa sana wateja wenu au kuna watu malumu wanao wekwa kwenye tarifu hiyo kama naweza kutumia elf tisa
Mwezi mzima nini shida tanesco naombeni majibu yenu