TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO, nimefunga Mashine yangu ya kukamua alizeti singida, ila umeme wanagoma kuja kuniunganishia wa phase 3, hauko mbali hata nguzo haihitajiki. Madai ni kua REA hawashushi lakini majirani wameshushiwa, nifanyeje?
 
Umeme mnakata hovyo hovyo. Jana umeme umekatika asubuhi saa mbili umerudi SAA sita usiku, muda huu asubuhi hii tayari mmeshakata, hivi mnataka sisi wajasiliamali wadogo tunaotegea umeme tuishije?. Shirika la Tanesco mna maudhi mengi kwa kweli. Umeme wenu sio wa uhakika.
 
Kutoka Tabata dampo mliniomba namba yangu ya mita ni
37142472622
Frederick Mdassa
Sim 0715 569799
 
....Na mimi naongezea kwa nini Tanesco hamnunui nguzo moja kwa moja toka Sao hill forest plantation, ambao surely bei ingekuwa afadhali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapongeza kwa wazo la uwanja huu. Nimelazimika kulipa pesa bila kupenda.

Niliunganishiwa umeme baadae ukanisababishia taabu na mateso rejea barua zako RM/IL/RP-F/50 ya tar 17 MARCH 2015 pia barua RM/ILL/RPU/08 ya 01 DECEMBER 2015 pia barua DMDD&CS/SMS&M/Wateja.

Katika barua ipo barua iliyoniingiza ktk wizi na nyingine imeniondoa . Ninachokitaka unifutie hilo deni ambalo umeainisha kama ni loss of revenue. Matumizi yangu sio zaidi ya units 75 kwa mwezi ambazo silipi zaidi ya shs elf kumi na miezi .iliyotumika umeme bila mita si zaidi ya mwaka sasa hesabu ni kubwa tafadhali ili
muonekane mko fair ondoeni hilo deni lililobaki na pia mniondoe ktk tarriff ya sasa.

Namba yangu ya simu ni 0754324980 nipo tabata automech
Natanguliza shukrani zangu za dhati...Almas
 
Nawapongeza kwa wazo la uwanja huu. Nimelazimika kulipa pesa bila kupenda..Niliunganishiwa umeme baadae ukanisababishia taabu na mateso rejea barua zako RM/IL/RP-F/50 ya tar 17 MARCH 2015 pia barua RM/ILL/RPU/08 ya 01 DECEMBER 2015 pia barua DMDD&CS/SMS&M/Wateja. Katika barua ipo barua iliyoniingiza ktk wizi na nyingine imeniondoa . Ninachokitaka unifutie hilo deni ambalo umeainisha kama ni loss of revenue. Matumizi yangu sio zaidi ya units 75 kwa mwezi ambazo silipi zaidi ya shs elf kumi na miezi .iliyotumika umeme bila mita si zaidi ya mwaka sasa hesabu ni kubwa tafadhali ili
muonekane mko fair ondoeni hilo deni lililobaki na pia mniondoe ktk tarriff ya sasa. Namba yangu ya simu ni 0754324980 nipo tabata automech
Natanguliza shukrani zangu za dhati...Almas
Tumekupatia ushauri mkuu tunashukuru kwa taarifa kamili
 
Umeme mnakata hovyo hovyo. Jana umeme umekatika asubuhi saa mbili umerudi SAA sita usiku, muda huu asubuhi hii tayari mmeshakata, hivi mnataka sisi wajasiliamali wadogo tunaotegea umeme tuishije?. Shirika la Tanesco mna maudhi mengi kwa kweli. Umeme wenu sio wa uhakika.
Eneo... mkoa .... wilaya.... na namba yako ya simu.....
 
plan B ya kila mtu kumilik luku yake nini jamani sharing is boaringgggg hata kwa 50tshs toeni tender kwa private company za nje watengeneze viwandani ndo muwape Ayo kwenu am sure wanaweza kutupunguzia hizi kero
 
Nauliza Tanesco ni kweli kuna uhaba wa nguzo kwa mkoa wa Kilimanjaro has a Wilaya ya Hai maana kuna watu wamelipia toka January wanaambiwa hakuna nguzo pia sisi wa mwezi wa Tano majibu ni hayo hayo.

kinachonishangaza hii huduma mlitakiwa mtusambazie umeme kadri watu wanavyolipia maana ni biashara lakini tunavyosumbuka dah inakatisha tamaa kwa kweli!
 
Naona maombi yangu hayafanyiwi kazi kuhusu tarifu ninayoiyomba nibadilishwe kama barua nishapeleka kisarawe lkn hakuna majibu mbona mnatunyanyasa sana wateja wenu au kuna watu malumu wanao wekwa kwenye tarifu hiyo kama naweza kutumia elf tisa.

Mwezi mzima nini shida tanesco naombeni majibu yenu
 
Nauliza Tanesco ni kweli kuna uhaba wa nguzo kwa mkoa wa Kilimanjaro has a Wilaya ya Hai maana kuna watu wamelipia toka January wanaambiwa hakuna nguzo pia sisi wa mwezi wa Tano majibu ni hayo hayo. kinachonishangaza hii huduma mlitakiwa mtusambazie umeme kadri watu wanavyolipia maana ni biashara lakini tunavyosumbuka dah inakatisha tamaa kwa kweli!
Wewe umelipa kwa jina gani kiasi gani mwezi gani na namba yako ya simj tafadhali
 
Naona maombi yangu hayafanyiwi kazi kuhusu tarifu ninayoiyomba nibadilishwe kama barua nishapeleka kisarawe lkn hakuna majibu mbona mnatunyanyasa sana wateja wenu au kuna watu malumu wanao wekwa kwenye tarifu hiyo kama naweza kutumia elf tisa
Mwezi mzima nini shida tanesco naombeni majibu yenu
Uliomba lini namba yako ya simu ya mita tafadhali
 
Nilipeleka mwaka juzi mwaka jana maombi yangu hayajapokelewa na namba ya simu yangu ni 0713091140 na 0717305958 na namba ya mita ni 37142429820
 
Nimemsikia Leo muhandisi wao akidai kuwa chanzo cha kukatika katika umeme Lindi na mtwara ni tatizo LA uchakavu wa mashine...sasa ni kwa nini shirika nyeti kama hili lisinunue machine mpya...wamekuwa walijiendesha kibiashara je mapato ya shirika yanatumikaje.

Hebu muwe serious,umeme ni bidhaa nyeti sana ktk maendeleo ya jamii.
 
Hili suala mmelishindwa tufanye mawasiliano na NAIBU WAZIRI?
24df010b87ddcebec6e7c72ec861d04f.jpg
 
Back
Top Bottom