dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
TANESCO,Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, tumepokea taarifa za hitilafu ya miundombinu maeneo hayo, tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza, wataalamu wetu wanafanya jitihada katika zoezi hilo matengenezo yatakapokamilika huduma itarejea.^EB
Ningetamani kupata pia majibu ya haya maswali kutoka TanescoTanesco : Nitofautishieni kati ya:
1. Mgao.
2. Upungufu wa umeme.
Zingatieni: Sababu ya Mgao ni nini.
Asante sana
#tanzaniayenyenuru.
Hahahahaha........Mnaangaza Maisha gani?
Toka asubuhi Nkuhungu, Dodoma haina umeme.
Muogope Mungu,hitilafu kila siku ngaramtoni mnakata umemeHabari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, tumepokea taarifa za hitilafu ya miundombinu maeneo hayo, tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza, wataalamu wetu wanafanya jitihada katika zoezi hilo matengenezo yatakapokamilika huduma itarejea.^EB
HahahahaTANESCO
siku ya tatu leo hamjakata umeme huku Ngobedi_B, Pwani, kulikoni ?
Zamani ilikua inachukua muda ganiHuku kwetu mwanza umeme hatunganishwi kwa zaidi ya wiki tatu umeme na tumelipia shida itakuwa niniView attachment 2747716
Zamani ipi???Zamani ilikua inachukua muda gani
So they are betterZamani ipi???
Wenyewe wamekuja na mfumo mpya wa ndani ya siku 7 unaunganishiwa umeme. Sasa kwa wiki tatu ni halali watu kulalamika.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tangazo hilo ni la kweli na kila Mkoa utafanya mabadiliko kwa utaratibu maalumu, hivyo kwenye Mkoa wako zoezi hili likifika utafahamishwa tafadhali.^OKHello TANESCO kuna tangazo nimeliona kwenye mitandao kwamba mita zinazoanzia namba 04, 05, 06, 07 na 013 zinatakiwa zibadilishwe kwani muda wa matumizi yake ni mwisho mwezi ujao......tangazo hili lina ukweli wowote?