Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msala mkubwa sana huo,
Nenda ofisini kwao, watakupa code za kuingiza, ukifika wakoromee kidogo
Mita mpya nunua umeme wa bei kubwa. Wanasema kuwa kuna umeme wanakuwa wamekuwekea mwanzo, upumbavu wao hawasemi, yaani vurugu vurugu. Mi ilisumbua ikabidi ninunue wa 8000 ndiyo kukubali.Hawa watu wameuua ratiba zangu zote za kesho …Inatakiwa mtu ale bonge la bao
Kwa kawaida mteja anapofungiwa umeme huwa kwenye meter yake kunakuwa na unit 10 za mwanzo za kuanzia ili asipate tabu wakati taratibu za kumsajili kwenye mfumo zinaendela gharama yake huwa kama 3654 hiviMita mpya nunua umeme wa bei kubwa. Wanasema kuwa kuna umeme wanakuwa wamekuwekea mwanzo, upumbavu wao hawasemi, yaani vurugu vurugu. Mi ilisumbua ikabidi ninunue wa 8000 ndiyo kukubali.
Nchi hii kila kitu fursa.Tatizo la Tanesco ukiwapiguia emergency leo wanakuja kesho. Hiyo mita ipo juu ya nguzo?
Yakwangu waliweka juu ya nguzo ikawa kila ikitokea unit zikikata kuweka unit mpya haziingii mpaka waje wapande waingizie pale pale. Nikawalipa wanishushie wakaniwekea ukutani tatizo likaisha.
Wajinga kweli 😂😂😂. Tena wakaniambia nitafute laki 8 nihamie line nyingine ambao umeme kukatika sio sana. Hii line inaweza kukatika lakini nyingine upo. Basi kila siku wananipigia kunikumbusha.Nchi hii kila kitu fursa.
Tanesco ukipenyeza rupia unahudumiwa fasta. Jamaa yangu alítaka weka umeme wakasema mita hakuna akapenyeza rupia wakaja wakamwekea mita mbovu haihesabu wakasema tumia tu zikija tutakuja kuibadilisha. Akatumua kama miez mitatu wakaja wakaitoa wakamwekea inayihesabu wakamwambia hii hakikisha unaitupa mbali wakikukamata nayo shauri yako
Haki umenichekesha. Sasa hizi kila mtu anakula urefu wa kama yake. Sio tanesco, si tra, si uhamiaji wala si NiDAWajinga kweli 😂😂😂. Tena wakaniambia nitafute laki 8 nihamie line nyingine ambao umeme kukatika sio sana. Hii line inaweza kukatika lakini nyingine upo. Basi kila siku wananipigia kunikumbusha.
Ila mimi naona sasa hivi ni kama taasisi zote ukiwa na hela ukitoa hela unahudumiwa haraka sana.
Habari ndugu Dan asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukutasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya taarifa uliyo pewa na mtoa huduma pia tunaomba namba ya mita kwa usaidizi zaidi.,^OKNaombeni Msaada Mita Yangu Ni Mpya Inagoma Kupokea Unit nimepiga Tanesco Hakuna Msaada Mmoja kasema nibonyeze (0) the Nita Namba Mwingine kasema Niwangoje Huduma kwa Wateja ila Hata Hawajaja
Sasa hivi Ni Uhuru wa manyani. Mkulima hayupo nyani wanakula mpaka mahindi machanga. Mengine wanavuna na kuyatupa as if yayaendelea kuwapo siku zote.Moderator ufuteni huu uzi wa TANESCO hauna maana yoyote. Shirika lililofeli.
wapi huko