Hawa watu wameuua ratiba zangu zote za kesho …Inatakiwa mtu ale bonge la bao
Mita mpya nunua umeme wa bei kubwa. Wanasema kuwa kuna umeme wanakuwa wamekuwekea mwanzo, upumbavu wao hawasemi, yaani vurugu vurugu. Mi ilisumbua ikabidi ninunue wa 8000 ndiyo kukubali.
 
Upo wapi mdau hapo unahitaji key change ili umeme wako uweze kuingia unaweza kwenda ofisi ya tanesco kwa msaada zaidi au la nichek inbox niambie upo wapi nipe na meter number nikusaidie
 
Mita mpya nunua umeme wa bei kubwa. Wanasema kuwa kuna umeme wanakuwa wamekuwekea mwanzo, upumbavu wao hawasemi, yaani vurugu vurugu. Mi ilisumbua ikabidi ninunue wa 8000 ndiyo kukubali.
Kwa kawaida mteja anapofungiwa umeme huwa kwenye meter yake kunakuwa na unit 10 za mwanzo za kuanzia ili asipate tabu wakati taratibu za kumsajili kwenye mfumo zinaendela gharama yake huwa kama 3654 hivi
 
Tatizo la Tanesco ukiwapigia emergency leo wanakuja kesho. Hiyo mita ipo juu ya nguzo?

Yakwangu waliweka juu ya nguzo ikawa kila ikitokea unit zikikata kuweka unit mpya haziingii mpaka waje wapande waingizie pale pale. Nikawalipa wanishushie wakaniwekea ukutani tatizo likaisha.
 
Nchi hii kila kitu fursa.
Tanesco ukipenyeza rupia unahudumiwa fasta. Jamaa yangu alítaka weka umeme wakasema mita hakuna akapenyeza rupia wakaja wakamwekea mita mbovu haihesabu wakasema tumia tu zikija tutakuja kuibadilisha. Akatumua kama miez mitatu wakaja wakaitoa wakamwekea inayihesabu wakamwambia hii hakikisha unaitupa mbali wakikukamata nayo shauri yako
 
Wajinga kweli 😂😂😂. Tena wakaniambia nitafute laki 8 nihamie line nyingine ambao umeme kukatika sio sana. Hii line inaweza kukatika lakini nyingine upo. Basi kila siku wananipigia kunikumbusha.

Ila mimi naona sasa hivi ni kama taasisi zote ukiwa na hela ukitoa hela unahudumiwa haraka sana.
 
Haki umenichekesha. Sasa hizi kila mtu anakula urefu wa kama yake. Sio tanesco, si tra, si uhamiaji wala si NiDA
 
Naombeni Msaada Mita Yangu Ni Mpya Inagoma Kupokea Unit nimepiga Tanesco Hakuna Msaada Mmoja kasema nibonyeze (0) the Nita Namba Mwingine kasema Niwangoje Huduma kwa Wateja ila Hata Hawajaja
Habari ndugu Dan asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukutasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya taarifa uliyo pewa na mtoa huduma pia tunaomba namba ya mita kwa usaidizi zaidi.,^OK
 
Huku kwetu tangu jana hatuna umeme na tumelala giza hadi leo,karibu tunafikisha masaa 24 hatujaona umeme kabisa sasa sijui huu nao ni Mgao au ni nini hiki.
 
TANESCO MBONA ELFU MOJA SIONI IMEKWENDA WAPI

LUKU
5417224333941
9004233572213022176
19.6KWH

0844 9560 8004 9518 5023

Cost 5,737.71
VAT 18% 1,032.78
EWURA 1% 57.38
REA 3% 172.13
Debt Collected 3,000.00
TOTAL 10,000.00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…