Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Tunaifanyia kaziTumeipokea mkuu
Nipo Goba Wilaya ya Ubungo kero yangu ni kuwa nimelipia tangu mwezi July ili niwekewe umeme lakini hadi Leo nazungushwa tu hada kidogo nishatoa ila sapati huduma 0655969594 naomba msaada please
Kwa swala lakomtafadhi fika ofisini na huo umemeHabari! Tatizo langu nimekosea kununua umeme kwa njia ya tigopesa mita yangu no ni 0134319587 lakini nimenunulia 01343197859 kimakosa kupitia no hii 0679244749 dk 5 zilizopita.
Mkoa Dar
Wilaya Temeke
Kata Mtoni kijichi.
ahsanteh
naomba mjitahidi maana sina umeme kabisaTumeipokea mkuu
tafadhari nisaidieni hilotarehe: 17/10/17
muda : 09:31 asubuhi
kiasi : 5000
mita : 54150797014
tid: 4JH8WXT0YA
simu : 0755316703
sijapokea token
Tumeipokea mkuu
Kuna maswala ambayo uliiliza bila kutoa taarifa kamili tunashindwa kukupatia ufumbuzi,mfano mkoa, wilaya ,namba ya simu, swali au lalamiko namba ya mitaHalafu nyie TANESCO jibuni kero zote,hata kama ziko nje ya uwezo wenu mseme tu,sio mnakaa kimya au nyie ni matapeli,
Hiyo post ni 1485 sijaandika nini tenaKuna maswala ambayo uliiliza bila kutoa taarifa kamili tunashindwa kukupatia ufumbuzi,mfano mkoa, wilaya ,namba ya simu, swali au lalamiko namba ya mita
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu tumepokea maoni na ushauri wakoTANESCO makao makuu mnafanya kazi moja nzuri sana humu,
Mimi baada ya kufanikisha mambo yangu kupitia ukurasa huu
Nimewaleta humu jamaa zangu wengi sana
Na ninayo furaha kusema na wao wamesikilizwa na kero zao zimeanza kufanyiwa kazi
Ushauri wangu kwenu,
TANESCO hivi sasa anzeni kuwaondosha wafanyakazi wanaofanya kazi kwa mazoea hawa ndio wanaotufanya sisi au wateja wenu kwa ujumla tukimbilie humu kuja kutoa kero zetu
Ila nyuma yetu wapo watanzania wengi sana wana kero zao nyingi sana na awana pa kukimbilia
Awana smartphone awajui namna ya kujiunga JF
Ombi langu
Nendeni mkapeleke huduma kama hii facebook au Twitter
Angalau muwe mnatatua kero kupitia hizo kurasa za FB na twitter kwa wiki mara 2
Binafsi kiongozi aliyebuni ukurasa huu wa kero nampa hongera sana kwa ubunifu huu
Shirika la TANESCO hivi sasa linapata heshima kubwa kupitia uzi huu.
Aksanteni sana.
Tumepokea taarifa mkuu kwa ufatiliaji na utendajiTanesco Lushoto tunaomba mtuondolee hii kero ni mwaka wa 3 sasa nguzo za TANESCO zimesimama lakini hakuna utekelezaji kwenye kitongoji cha mwisho kwenye mradi wa usambazaji umeme Kijijini Kwekitui TANESCO mkoa wa Tanga tunaomba msaidie hili.
View attachment 611740View attachment 611743