TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hawo ni matepeli na hawahusiki na huduma za Tanesco fika ofisini kama kuna gharama utapewa kwa maanishi ukalipe kisha unapewa risit
Tutapewa VP garama wakati nguzo za mradi bado azijasimamishwa kinachotakiwa ni kwenu tanesco kusimamisha nguzo kisha sis tupewe garama ya kila mmoja kuingiza umeme kwenye nyumba yake.
 
Ndio maana tunataka kukusikilza vizuri na kukupatia ufafanuzi,fika ofisini tuonane na wewe mpendwa mteja
 
Ni taratibu zipi za kufata ikiwa mfanyakazi wa Tanesco amechukua pesa ili kuunganisha umeme kushindwa kufanya hivyo. Je tukamshitaki ofis zipi hapo Tanesco zinazoshughulika na madai haya?
 
Unatoa taarifa vyombo vya dola na kumbuka kutoa au kupokea rushwa ni kosa kisheria hivyo kama una ushahidi wa kutosha peleka taarifa polisi,TAKUKURU au ofisi zetu.
 
Vipi kuhusu hii ishu?? kuna ufuatiliaji wowote umefanyika hadi sasa?? Mwezi umepita sasa tangu niripoti hii ishu....

Nawakilisha wananchi wa maeneo ya Mtaa wa Shewa, Kata ya Mwakibete (karibu na kwa masista), Wilaya ya Mbeya Mjini, Mkoani Mbeya:
Shida yetu: umeme bado haujafika maeneo ya kwetu. Tuliwahi kufuatilia TANESCO kuhusu kuvutiwa umeme hadi eneo letu, na kupeleka barua rasmi, lakini walivyokuja watu wa TANESCO wakasema kuwa eneo letu ni la mradi wa REA; Baada ya muda kidogo wakaja hao watu wa REA, wakaweka nguzo kwa eneo kidogo, kisha wakapotea, hadi leo ni zaido ya miezi 9 sasa hakuna kinachoendelea.

Tukifuatilia TANESCO, hakuna jibu la maana tunalopewa, tafadhali sana tunaomba mtufikirie, na sisi tunatamani na kuhitaji sana umeme.
Namba ya balozi wetu ni 0754312532, analifahamu vizuri hili suala kwa kuwa tulishirikiana nae hatua kadhaa za kufuatilia ofisi za TANESCO.Tunaomba mlishughulikie hili swala.
 
Tafadhali fika ofisini tukupatie ufafanuzi
 
TANESKO
Wafuatiliaji WENU huku mikoani [HASHTAG]#Nyakato[/HASHTAG] mwanza
Wanalalamika nimewachafua kwenye MITANDAO baada ya kuripoti tatizo langu la kulupia huduma na kuichelewesha hapa.

Sasa wamepotea mazima.Uzi huu mlio anzisha unaleta kero kwa baadhi ya watumishi WENU wenye mamlaka.
Wanasema tunawachafua kwenye MITANDAO.
 
Je umepatiwa huduma mpendwa mteja kama bado tunaomba namba yako ya simu
 
Mara yakwanza nilutoa namba yangu ya cm hapa ,nikweli watumishi WENU walinipigia na kuja hadi eneo husika na kuishia kusema wamechafuliwa kwenye MITANDAO ati suala limefika makao makuu ,bila Huduma yeyote.
Nadhani ni vyema mka waelewesha kuwa Uzi huu mmeanzisha maalamu kwa Tanesko na Wateja wake kwa minajiri ya kuboresha Huduma za Tanesko kwaajili ya kuangaza maisha ya Watanzania.

Nimeshatoa location.
Hapo hata mkiwauliza tu.,,VP wale walio wachafulia kwenye MITANDAO mmesha wapatia Huduma ?mta pata majibu, bila hata ya kutafuta MCHAWI.
 
Halafu nyie mnajibu baadhi ya kero si ndio,au mmekusanyana wafanyakzi wa TANESCO ndo mnabadishaba no.humu,Manake naona kero nyingine hamjibu
 
Hawo ni matepeli na hawahusiki na huduma za Tanesco fika ofisini kama kuna gharama utapewa kwa maanishi ukalipe kisha unapewa risit

Habari! Tatizo langu nimekosea kununua umeme kwa njia ya tigopesa mita yangu no ni 0134319587 lakini nimenunulia 01343197859 kimakosa kupitia no hii 0679244749 dk 5 zilizopita.
Mkoa Dar
Wilaya Temeke
Kata Mtoni kijichi.
ahsanteh
 
Ipi mkuu
Namba yako ya simu
Eneo
Mkoa
Wilaya
Tatizo au maoni

Jaman Tanesco kama Mwanza kuna mgao mtuambie wiki ya pili sasa umeme unashinda haupo mnatutesa na hakuna taarifa
 
Ipi mkuu
Namba yako ya simu
Eneo
Mkoa
Wilaya
Tatizo au maoni
Mkoa:Kilimanjaro
Wilaya:Moshi DC
Eneo: kyala -masereni .
Nimelipia gharama za kuvutiwa Umeme tangu April mpka Leo ila sijapatiwa,ni lini nitavutiwa na Mimi nmechoka kutumia Umeme wa watu

0625792843
 
Back
Top Bottom