Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutapewa VP garama wakati nguzo za mradi bado azijasimamishwa kinachotakiwa ni kwenu tanesco kusimamisha nguzo kisha sis tupewe garama ya kila mmoja kuingiza umeme kwenye nyumba yake.Hawo ni matepeli na hawahusiki na huduma za Tanesco fika ofisini kama kuna gharama utapewa kwa maanishi ukalipe kisha unapewa risit
Ndio maana tunataka kukusikilza vizuri na kukupatia ufafanuzi,fika ofisini tuonane na wewe mpendwa mtejaTutapewa VP garama wakati nguzo za mradi bado azijasimamishwa kinachotakiwa ni kwenu tanesco kusimamisha nguzo kisha sis tupewe garama ya kila mmoja kuingiza umeme kwenye nyumba yake.
Unatoa taarifa vyombo vya dola na kumbuka kutoa au kupokea rushwa ni kosa kisheria hivyo kama una ushahidi wa kutosha peleka taarifa polisi,TAKUKURU au ofisi zetu.Ni taratibu zipi za kufata ikiwa mfanyakazi wa Tanesco amechukua pesa ili kuunganisha umeme kushindwa kufanya hivyo. Je tukamshitaki ofis zipi hapo Tanesco zinazoshughulika na madai haya?
Vipi kuhusu hii ishu?? kuna ufuatiliaji wowote umefanyika hadi sasa?? Mwezi umepita sasa tangu niripoti hii ishu....Unatoa taarifa vyombo vya dola na kumbuka kutoa au kupokea rushwa ni kosa kisheria hivyo kama una ushahidi wa kutosha peleka taarifa polisi,TAKUKURU au ofisi zetu.
Tafadhali fika ofisini tukupatie ufafanuziVipi kuhusu hii ishu?? kuna ufuatiliaji wowote umefanyika hadi sasa?? Mwezi umepita sasa tangu niripoti hii ishu....
Nawakilisha wananchi wa maeneo ya Mtaa wa Shewa, Kata ya Mwakibete (karibu na kwa masista), Wilaya ya Mbeya Mjini, Mkoani Mbeya:
Shida yetu: umeme bado haujafika maeneo ya kwetu. Tuliwahi kufuatilia TANESCO kuhusu kuvutiwa umeme hadi eneo letu, na kupeleka barua rasmi, lakini walivyokuja watu wa TANESCO wakasema kuwa eneo letu ni la mradi wa REA; Baada ya muda kidogo wakaja hao watu wa REA, wakaweka nguzo kwa eneo kidogo, kisha wakapotea, hadi leo ni zaido ya miezi 9 sasa hakuna kinachoendelea.
Tukifuatilia TANESCO, hakuna jibu la maana tunalopewa, tafadhali sana tunaomba mtufikirie, na sisi tunatamani na kuhitaji sana umeme.
Namba ya balozi wetu ni 0754312532, analifahamu vizuri hili suala kwa kuwa tulishirikiana nae hatua kadhaa za kufuatilia ofisi za TANESCO.Tunaomba mlishughulikie hili swala.
Je umepatiwa huduma mpendwa mteja kama bado tunaomba namba yako ya simuTANESKO
Wafuatiliaji WENU huku mikoani [HASHTAG]#Nyakato[/HASHTAG] mwanza
Wanalalamika nimewachafua kwenye MITANDAO baada ya kuripoti tatizo langu la kulupia huduma na kuichelewesha hapa.
Sasa wamepotea mazima.Uzi huu mlio anzisha unaleta kero kwa baadhi ya watumishi WENU wenye mamlaka.
Wanasema tunawachafua kwenye MITANDAO.
Mara yakwanza nilutoa namba yangu ya cm hapa ,nikweli watumishi WENU walinipigia na kuja hadi eneo husika na kuishia kusema wamechafuliwa kwenye MITANDAO ati suala limefika makao makuu ,bila Huduma yeyote.Je umepatiwa huduma mpendwa mteja kama bado tunaomba namba yako ya simu
Hawo ni matepeli na hawahusiki na huduma za Tanesco fika ofisini kama kuna gharama utapewa kwa maanishi ukalipe kisha unapewa risit
Habari! Tatizo langu nimekosea kununua umeme kwa njia ya tigopesa mita yangu no ni 0134319587 lakini nimenunulia 01343197859 kimakosa kupitia no hii 0679244749 dk 5 zilizopita.Ipi mkuu
Namba yako ya simu
Eneo
Mkoa
Wilaya
Tatizo au maoni
Bora hata umenisaidia kusema, wanachagua yakujibuHalafu nyie mnajibu baadhi ya kero si ndio,au mmekusanyana wafanyakzi wa TANESCO ndo mnabadishaba no.humu,Manake naona kero nyingine hamjibu
Mkoa:KilimanjaroIpi mkuu
Namba yako ya simu
Eneo
Mkoa
Wilaya
Tatizo au maoni
Wanauzi sana,yani wanasemaje wanatatua kero halafu wanaangalia kero nyingine kama mabus ya mikoaniBora hata umenisaidia kusema, wanachagua yakujibu